Si kila fursa inayokuja mbele yako lazima uitumie,fursa zingine ni milango ya majanga

66KV

JF-Expert Member
May 16, 2014
1,235
2,449
Habar wana MMU miaka ya hivi karibuni imekuwa rahisi sana kutongoza na ni rahisi pia kupata mwanamke ukilinganisha na miaka kama kumi nyuma,sio ishu siku hizi kusikia binti anamserendea jamaa na mitego mbalimbali(fursa kwa jamaa) ni kawaida tu,vilevile binti kutongozwa mara nyingi iwezekanavyo per day(fursa kwa binti) lakini si lazima kuzi2mia fursa zote chagua kati ya hzo fursa uchukue ipi uache ipi maana kuna fursa zingine unavoi2mia 2 na maisha yako yanabadilika on the spot,unaweza pata yale maradhi (HIV) katika hizo fursa jiulize unataka nini ktk dunia hii 2liyopewa bure,kwa nyongeza pia kwa wale wapendwa UKIMWI umeingia makanisani tusiruke step ya kupima afya kabla ya kuoana hata kama ndoa ye2 imetokana na kufunuliwa(kuna wengne actually hawafunuliwi wana2mia gia ya kufunuliwa kwa manufaa ya tamaa zao) yote kwa yote kila m2 kwa imani yake ajifunge mkanda tightly kwa yule anayeamin ni wake shetani ana mawakala wake wanasambaza UKIMWI kupitia "FURSA" tuwe makini na FURSA huko makazini,makanisani vyuon n.K
 
Umejieleza vyema ila hizo 2 badala tu umeharibu sana
Hizo frusa zinazotumika sasa hivi ni faida kwa wengine
We ukumbuki zamani kuna watu walikuwa hawajuwi kutongoza
Ila frusa sasa zimerahisisa kila kitu
 
Ni kweli mkuu mfano ukienda bar ukala vitu vya sh 9000/ ukatoa mwekundu ukaamua kumwachia ile buku,ghafla utaona ameanza kujilengesha hata kama huna lengo hilo
 
Back
Top Bottom