Sabuni hizi zinaongoza kuachanisha ndoa

Sabuni hizi zinaongoza kuachanisha ndoa

msafwa93

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2011
Posts
4,840
Reaction score
6,148
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..

Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..

SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.

Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..

Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..

Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
 
Attachments

  • 735997390531454922_296018960.jpg
    735997390531454922_296018960.jpg
    30.2 KB · Views: 1,769
mkuu nakuona uko eneo la tukio ndo ukaamua ujirushe kwanza na jamiiforums kabla mambo mengine hayajafuata ok Cku njema ila tambua wakati wewe unakula bata sasa wenzako wao mzigoni wanapambana kuondokana na Umaskini.
Ukienda guest au hoteli yoyote hapa TZ unakuta sabuni hizi za EVA zimewekwa kwenye bafu la choo cha chumba ulichopanga..

Kwa kawaida ni adimu sana kuikuta inatumika nyumbani,hivo nadhani hata watengenezaji wa hizi sabuni wanajua kuwa soko lao kubwa ni nyumba za wageni..

SABUNI HIZI ZINA HARUFU SANA..
Wanawake wanazijua sana harufu za sabuni hizi na ikitokea umerud nyumbani na harufu yake una maswali magumu ya kujibu,.

Inavosemekana baadhi ya ndoa zimevunjika kwasababu ya harufu ya hizi sabuni..

Ni wakati mwafaka wa kampuni inayozitengeneza kuangalia kama kuna umuhimu wa kuweka harufu kali kwenye bidhaa yao hii..

Wasiozijua kwa jina picha hiyo hapo..
 
Tumekusikia...
Huachanisha tu kama unachepuka, ila kama umeenda gesti na mkeo mtaachanaje?
 
Hata wewe ulitoka kuvunja amri ya mungu ndio ukaipata hiyo picha
 
Jiangalie na ya kwako isijekuwa inaelekea ukingoni.
 
mkuu nakuona uko eneo la tukio ndo ukaamua ujirushe kwanza na jamiiforums kabla mambo mengine hayajafuata ok Cku njema ila tambua wakati wewe unakula bata sasa wenzako wao mzigoni wanapambana kuondokana na Umaskini.

Hahaha..mkuu una bahatisha.?
 
Hahahahha huwa siogeagi hizo nkienda hayo maeneo
 
Be smart when chepukaring.

Kwanini usioge kavu na kusepa?

Hadi utumie sabuni itakayomshtua mkeo?
 
tembea na sabuni yako mwenyewe unaweka ofisini siku ya kuchepuka unabeba unaogea unawaachia guest weendelee kutumia ... hapo you use money to save time na kuepuka maneno na ugomv usiokuwa wa lazima
 
Duuuu hizo hua sigusi kabisa kama nikichepuka naoga kavu kiaina au nanunua sabuni nyingine
 
Utaendaje guest na mkeo.?
Kwani ukiwa safarini, say kwenda Mwanza na self drive, halafu umeamua kulala Shinyanga kabla ya kuendelea na safari kesho yake utalala wapi, kama siyo Guest House.
 
Back
Top Bottom