Wana JF naomba mnisaidie ushauri coz nina tatizo ya njia gani nitumie ili kujikinga na mimba kwa muda huu wa masomo? Nimejaribu njia mbalimbali bt kila moja ni matatizo , hivi karibuni tu nimetoka kuondoa njia ya njiti(vijiti) coz nableed km mtu aliyeharibikiwa mimba ,