Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,286
- 13,460
Kuna siku nikawa nataniana na mchumba wangu utani wa hapa na pale, sasa nikamtania kuwa anatakiwa ajipange nitamsugua mpaka atatembea kwa shida.
Nikashangaa alicheka kicheko cha juu tena cha kebehi na akaniambia nitembee kwa shida kwa uume upi wa kunifanya nitembee kwa shida? Uume wenyewe hata nikikohoa unachomoka.
Kiukweli kauli hii iliniumiza sana na ukiangalia kilikuwa kibamia kweli ikabidi nikatishe utani nikawa mpole wiki nzima nilikaa bila amani.
Baadaye yule mchumba wangu akaenda kazini kwake anakofanyia kazi tulikuwa tunakaa mikoa tofauti kwahiyo inapita hata miezi miwili bila kuonana.
Kuna siku nikaonana na mmasai mmoja maeneo ya hai mkoani kilimanjaro nikajenga naye urafiki na nikaanza kumdadisi kuhusu dawa za kuongeza maumbile ya kiume, akaniambia dawa zipo na hazina matatizo ikabidi nimuombe anisaidie.
Jamaa hakusita akanipa hiyo dawa ndani ya wiki nikawa na mshipa wa kufa mtu japo nikaanza kuhisi utofauti ninapotembea nikawa kama ninauvimbe sababu ya kuongezeka gafla kwa mshipa.
Baada ya mchumba wangu kurudi kama kawaida tukaingia uwanjani ile kutoa nguo tu alishtuka vibaya sana akaniuliza imekuwaje?
Nikamwambia nilienda kuongeza akalia sana na kunilaumu kwa maamuzi yangu. Nikamwambia ile kauli yako ndiyo ilisababisha yote hayo.
Hakuamini akaendelea kulia kuwa lazima nina mwanamke mwingne ndiye amenishauri kufanya hivyo..
Kauli aliyoitoa akasema sipo tayari kuendelea na wewe ila siyo kwamba nakimbia ukubwa wa uume ila lazima una mwanamke unafanya naye na amekushauri ufanye hivyo.
Nikaona haina shida nikampa go ahead..
Juzi kati nimeonana naye bado anazidi kunitolea lawama wakati kila mtu anamipango yake na mahusiano mapya.