Mnatufikiriaje jamani

cathy14

Member
Apr 11, 2014
37
23
Hivi kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume!

Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiriaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike?
 
Hiv kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume! Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume Tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiliaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike

We upo kijiji gani?wenzio huku mjini wadada,wanatutongoza kila siku
 
Hiv kwanini inakuwaga ngumu kwa msichana kutongoza mwanaume! Ni desturi iliyojiweka kwamba mwanaume Tu ndo aanze kwani huwa mnatufikiliaje nyie wanaume mkifatwa na njisia ya kike

mdomo wa mwanamke ni pesa... zisake uongee!
 
Mi sitongozi mtu asilaniiii! Labda nimtege tu! Ukimtongoza mwanaume kama hakutaki atakukubali akugeuze uwanja wa mazoezi, na kukufanya ATM kila siku ana kukopa coz anajua hata ukimwacha haina ishu! Sifugi binadamu kamwee labda mi ndo nigugwe tu not vice versa!
 
mis uu big tym
 
Naww huwa wanakutongoza?
 
OFCOURSE! Unauliza ndevu kwa Osama? Si unajua siendekezi FREE P so lazima mtu ajipange! Sio cha wote au mama huruma! Na mtongozo lazima uwe umetulia!

Hao wanaharibu rasilimali za taifa
 
Mi nilikuwa na mpanho si wa kukutongoza but wa kukuaproach kiutu uzima tu! JE UTANIONAJE.?

wewe bado hujamaliza pilika zako, siwezi kukuona wa ajabu badly sihitaji girlfriend kwa sasa ila mke wa kuoa.

sioni tatizo lolote kwa mwanamke kuonesha feelings zako kwa mwanaume ambayr siyo public fiqure au mwenye mafanikio makubwa kimaisha.
 
hehehe, kuna shosti muislamu. Mumewe alikuwa ana chepuko hilo kama double road yaani ina na flyovers. Acha mchepuko uanze kumpigia simu mke wa ndoa, eti mumeo ananipenda mruhusu anioe.

chepuko liliachwa mataa ya salender cha mtoto. hahaha mjini kuna visa, mi nataka nihamie shamba
huyo hajui kama hadi mahali wanajilipia wenyewe kwenye familia zao bila wazazi kujuwa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom