Mke wangu hana uwezo wa kusoma alama za nyakati.

Paul mathew

JF-Expert Member
Jan 20, 2012
275
60
Habari zenu wana jf. Naombeni msaada plz, mke wangu hana uwezo wa kunitambua nnapokuwa nimenyegeka, hata nikijaribu kumgusa na kumyegesha ni mkali, mpaka wakat mwingine zinanitoka na kuchafua shuka. Nifanyaje?
 
mkuu .. unatoka ofisini saa ngapi na unarudi saa ngapi...?

je ushawahi kurudi ghafla mchana ...? kwa ajili ya lunch
 
Heheheeee pole. Ila ana umri gani huyo mkeo? Maana asije akawa menopausal halafu wewe hujui...
 
Si umwambie "mke wangu nina nyege". Alama za nyakati sometimes kuzisoma unahitaji akili za ziada.
 
mmmh....kuna utata hapa.....
mkeo halafu anakufokea?...hebu tueleweshe vizuri....
 
Habari zenu wana jf. Naombeni msaada plz, mke wangu hana uwezo wa kunitambua nnapokuwa nimenyegeka, hata nikijaribu kumgusa na kumyegesha ni mkali, mpaka wakat mwingine zinanitoka na kuchafua shuka. Nifanyaje?

rahisi tu muache na mwambie asepe zake anhaaaa..
 
Back
Top Bottom