Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari zenu wana JF,
Hiii ni hali ya wiki mbili sasa inanitokea tangu pale nilipojuana na binti mmoja ambaye alinipigia simu na kudai kwamba amebuni tu namba na kupiga nikamwambia madhumuni yako ni nini hashwa?
Akaniambia mi natafuta rafiki ambaye anaishi Dar nikamuuliza wewe uko wp?
Akasema yupo Tabora nikamwambia sawa mimi nipo Arusha kwakumpotezea ila mi nipo Dar,akawa mbishi kunielewa na maelezo anayotoa ni kama mtu anaenifahamu nikakata simu kwa kuona ananipotezea muda wangu dakika mbili zimepita kanipigia anaongea kwa kunibembeleza sana sawa basi ikawa ananipigia simu tunaongea anasema yeye anasoma kidato cha nne ananiambia kavutiwa na mimi anataamani tuonane.
Nikamwambia wewe unampendaje mtu ambaye humjui wala hakujui akasema sauti yako nimeipenda nikampuuza nikajua huyu hamnazo.
Tuliendelea kuwasiliana sana nikamuomba anitumie picha yake akakubali akasema tatuma keshokutwa nilishampa email yangu siku zimepita hakutuma wiki umepita nikamkumbushia akasema atatuma ndo foreva hadi leo.
Kutokana na kuzoeana basi tukawa kama wapenzi tunasalimiana kimahaba tunapeana ahadi za kuonana tutagegedana vipi jinsi gani kila mmoja atafurahia nk.
SASA basi ikaja kutokea hali ambayo inanipa utata nina girl naishi nae na chakula cha usiku na maanisha papuchi lazima nigonge bao hata 3au2 za kutoa uchovu cha ajabu asubuhi nikiamka najikuta boxa imechafuka yaani nimejipiizi ni mda wa wiki mbili sasa.
Nimeshtuka leo kichwa kimefunguka kwani usiku nimegegeda sana papuchi kuja kuamka boxa imechafuka alafu nimechoka sana na sehemu za mbavu kuna uma sana MAAJABU huyu binti wa Tabora kanipigia simu ananiambia pole na uchovu wa usiku dk 3zilipita sijamjibu nilihisi kama mwili umekua mwepesi alafu napaa,nikamwambia mbona sikuelewi akakata simu.
NAOMBENI mawazo jamani hapa nilipo nimelala sijielewi.