kwamtoro
JF-Expert Member
- Nov 15, 2010
- 4,922
- 3,245
Utakubali au kukataa baada ya kusoma ukweli huu...
(1) Wengi wa wasichana weusi uliowafahamu miaka mitano iliyopita kwa sasa siyo weusi kama kipindi ulicho waona.
(2) 98% ya wadada wa kileo huweka nywele za bandia na kuziona ni bora kuliko nywele zao za hasili
(3) Wadada pia wanafikiri kuweka kucha za bandia, nyusi na vitu kama hivyo vinawafanya waonekane warembo. Ukweli ni uongo sana, kwani wengi wao wanaonekana wabaya zaidi.
(4) Wadada siku zote wanataka kuwa na wapenzi wa jinsia ya kiume warefu na wenye muonekano mzuri pasipo kujua uzuri wa mioyo yao au upeo wao upo vipi
(5) Wadada wa kileo wanapenda kuzungumza kingereza mara nyingi wakati vijana wakiwatongoza, mwishowe wanaishia na kingereza cha kuunga unga, Ha ha ha ha!!
(6) Kwa sababu ya kutojiamini, hampendi kuona urembo wa hasili kwenu.
# Rahisi
Kuwa mwenyewe, kuwa wa hasili, inalipa sababu weusi ni urembo. KUBALI au KATAA.
Nimetafsiri toka Nairaland.