Habari za muda huu wadau wa jukwaa hili. Nimekuwa ktk mahusiano na msichana flan kwa kama miaka miwili sasa. Nampenda sana maana anaonekana mwenye akili ya kutafuta na anajielewa pia.
Mwaka jana tulipanga tuanze kutunza kiasi kidogo kidogo cha pesa kila semista(boom) maana wote tunapata (maana nipo 3rd year na yeye 2nd year) lengo la kutunza pesa ni kuwa pindi nikimaliza masomo niwe na chochote cha kufanya kama vile biashara kuliko kutegemea kuajiriwa(bahati na sibu).
Ni kweli tumejitahidi kujibana mpaka sasa kipo kias cha kuridhisha angalau. Tatizo liko sehem1 tu, mimi situmii pombe/kilevi chochote na wala sivuti sigara/bangi nk. furaha yangu ni kugegedana tu hasa pale ninapokuwa na mtu ninae mpenda.
Ila yeye kugegedana hapendi kabisa. Tunaweza kukaa hata miezi miwili nikimwuita room anakuja, na romance anakubali ila kugegedana hataki kabisa. Hii hali inanipa taabu sana kiasi kwamba napata mawazo ya: either nimuache maana nahisi hata nikija kumuoa atanisumbua kwa hilo or nitafute mchepuko maana haniridhishi kabisa.
Sipendi kumuacha maana bado nampenda coz ana plan nzuri kimaisha ila najikuta mawazo yananijaa sababu kuu ikiwa ni hyo nloitaja hapo juu.
Ushauri wenu ni muhim sana kwangu wadau,
Nawasilisha.