Msimu wa kuoa umewadia changamkeni jamani

Msimu wa kuoa umewadia changamkeni jamani

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,388
Reaction score
6,482
Jamani, msimu ndio umewadia wa kuoa, changamkia ! Mtaani hapa muziki kwa kwenda mbele, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa........................... kila leo! Inapendeza!
 
Wanaenda kupika uji na futari hao.
 
Sijaelewa hivi nako kuoa kuna misimu?
 
Jamani, msimu ndio umewadia wa kuoa, changamkia ! Mtaani hapa muziki kwa kwenda mbele, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa, kuoa........................... kila leo! Inapendeza!

Ufirauni tu huo mnaoa mkimaliza mfungo ndoa zinaota mbawa
 
Kumbe ndio mana naskia miziki huku! Itakuwa vigodoro!!
 
Back
Top Bottom