Abel james
Senior Member
- Jun 12, 2014
- 103
- 8
Ni kijana wa miaka 25,mwenye sifa zifuatazo
1.mwembamba wastani na mrefu futi tano,
2.ni mtanashati ,mpole na naweza kuchukuliana na yeyote
3.elimu yangu ni chuo na nipo mwaka wa pili
4.ni mkristo na mcha mungu
5.mweusi maji ya kunde
SIFA ZA NINAEMTAKA,
1,awe ni mwanamke mpole ,mwenye hekima na adabu
2,awe anapatikana kwenye mikoa ifuatayo,iringa,mbeya,njombe,morogoro,dar es salaamu,nk
3,kabila lolote na elimu yoyote
4,awe mkristo hana mtoto na hajawah kuolewa
5.awe tayali kupima afya
6.asiwe mlevi na awe tayali kuja iringa
7.awe anajishughulisha na kazi yoyote
NB.waliopo kwenye mikoa tajwa hapo juu watapewa kipaumbele
kwa alie single na yupo tayali anibip au anitumie sms kupitia 0763175935,sms zote zitajibiwa