Mwanaume Kutoka na Mwanamke Msagaji

Mwanaume Kutoka na Mwanamke Msagaji

RaiaMbishi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2012
Posts
252
Reaction score
134
Tabia ya wanawake kuwa wasagaji au angalau bi-sexual imekuwa ni kubwa sana Tanzania, na wengi wana wake zao au girl friend zao ambao hawajui ukweli huu kwani wanawake wengi wanaogopa kwamba wanaume wao wata waacha mara watakapogundua hilo. Kwa wale wenye uelewa au uzoefu wa suala hili, iwapo ni wewe, reaction yako ya kwanza itakuwa ni nini hasa iwapo umekuja kubaini suala hili baadae sana na baada ya yeye kuamua kuwa muwazi kwako kwamba anapenda jinsia zote huku tayari mkiwa ndani ya mapenzi moto moto ambayo hukuona kabisa dalili ya suala hili. Kina dada pia nahitaji mawazo na ushauri wenu.

Pia nini ni madhara ya kutoka na mwanamke msagaji? Na je kuna faida zozote pia tofauti na mwanamke ambae ni heterosexual? Mhusika (mwanamke) ni mpenzi wa wanawake zaidi kuliko wanaume lakini kwa kweli ananipenda ajabu na background yake ni kwamba yeye na familia yake ilikuwa abused sana na baba wa kambo wakiwa wadogo. Tukirudi kwenye mada kuu, anasema kwamba yupo tayari kuanza kuniletea mwanamke yoyote ninayemtaka (YOYOTE NCHINI) kisha tujumuike wote watatu (three some) ilimradi/badala ya mimi kutoka nje ya uhusiano kivyangu vyangu, yani nisim cheat.

Historia yangu
Nilikuwa natoka na single mother, nimeachana nae miezi kama nane iliyopita (kwa sasa ni marafiki zaidi huku tukipeana mchezo mara moja moja kutegemeana na mazingira), na nikampata mwanamke mwingine ambae sio single mother, mid 20s, mtanzania 100%, digital kidogo, na nikaanza kuendeleza uhusiano nae na baada ya miezi kama sita, ndio nimekutana na hili.
 
kwenye bold: huo ndio mchezo wao. na watakurekodi wasambaze clip zenu.
 
wasagaji wengi? Umewahesabu?

Mazara ya mwanamme kutoka na mwanamke msagaji ni kuwa atamkoboa mmewe.

Singo maza? Leo msagaji!!!! Kesho utakuja sijui na nini?
Unavutia matatizo
 
anaweza kuletea mwanamke yeyote nchini umsage? Kuweni na adabu. Pmbav zenu.
Atakuletea mama ako au dada zako
 
Kwa hiyo una gf 3 (single mother, Yule wa mid twenties na lesbian). Na sasa lesbian anataka kukuongezea wa nne?
Nadhani unahitaji kuongea na mzazi wako wa kiume akushauri. This is above my level, so i declare.
 
no retreat, no surrender

namie najiongeazea wa 5

Kwa hiyo una gf 3 (single mother, Yule wa mid twenties na lesbian). Na sasa lesbian anataka kukuongezea wa nne?
Nadhani unahitaji kuongea na mzazi wako wa kiume akushauri. This is above my level, so i declare.
 
Tabia ya wanawake kuwa wasagaji au angalau bi-sexual imekuwa ni kubwa sana Tanzania, na wengi wana wake zao au girl friend zao ambao hawajui ukweli huu kwani wanawake wengi wanaogopa kwamba wanaume wao wata waacha mara watakapogundua hilo. Kwa wale wenye uelewa au uzoefu wa suala hili, iwapo ni wewe, reaction yako ya kwanza itakuwa ni nini hasa iwapo umekuja kubaini suala hili baadae sana na baada ya yeye kuamua kuwa muwazi kwako kwamba anapenda jinsia zote huku tayari mkiwa ndani ya mapenzi moto moto ambayo hukuona kabisa dalili ya suala hili. Kina dada pia nahitaji mawazo na ushauri wenu.

Pia nini ni madhara ya kutoka na mwanamke msagaji? Na je kuna faida zozote pia tofauti na mwanamke ambae ni heterosexual? Mhusika (mwanamke) ni mpenzi wa wanawake zaidi kuliko wanaume lakini kwa kweli ananipenda ajabu na background yake ni kwamba yeye na familia yake ilikuwa abused sana na baba wa kambo wakiwa wadogo. Tukirudi kwenye mada kuu, anasema kwamba yupo tayari kuanza kuniletea mwanamke yoyote ninayemtaka (YOYOTE NCHINI) kisha tujumuike wote watatu (three some) ilimradi/badala ya mimi kutoka nje ya uhusiano kivyangu vyangu, yani nisim cheat.

Historia yangu
Nilikuwa natoka na single mother, nimeachana nae miezi kama nane iliyopita (kwa sasa ni marafiki zaidi huku tukipeana mchezo mara moja moja kutegemeana na mazingira), na nikampata mwanamke mwingine ambae sio single mother, mid 20s, mtanzania 100%, digital kidogo, na nikaanza kuendeleza uhusiano nae na baada ya miezi kama sita, ndio nimekutana na hili.

Kuna mambo hata SHETANI humwambia MUNGU; HAPA SIJAHUSIKA, NI BINADAMU WAKO!

Ukiamua kumPANDA nmsagaji haina tofauti sana na KUPANDA 0713,,,,
 
Ukistaajabu ya Mpole sana kutolewa bikira ya Kiboga utayaona ya Raia Mbishi!!!!!!!!!!! Mmmmmmmmmmmmh!:shut-mouth:
 
kha!!! mbona una bahati weye...mwana kamatia uwe unapata threesome kila leo
 
Kwa hiyo una gf 3 (single mother, Yule wa mid twenties na lesbian). Na sasa lesbian anataka kukuongezea wa nne?
Nadhani unahitaji kuongea na mzazi wako wa kiume akushauri. This is above my level, so i declare.

Gf watatu wepi hao? nimejadili wawili tu humu, na nimeshaeleza kwamba status rasmi ni kwamba sipo tena na single mother, nyie vipi, mbona mna act kama vile humjawahi kutoka na mtu mpya baada ya mtu uliyenae kuwa haeleweki na uhusiano wenu in the final analysis ni umeshakufa, ni suala la muda tu ku flush mazoea...
 
uch. Mmoja tu unatisha, sasa upambane na nyuch. 2, si utachanganyikiwa?

hahahah hapana hapo ndio mwanaume unajipima nguvu...shughuli ya hapo kubwa kuliko ata kupanda mt kilimanjaro
 
Dogo, naomba uniunganishie na mimi ili nikushauri KIMATENDO ZAIDI...
 
Mwanamke msagaji kutoka nae poa sana!! (from experience) ... ila angalia sometimes akiwa na rafiki wa kike huwa wana wivu sana. Unaweza kufanywa kitu mbaya.
Ila kama ana playmate tu, the sex is always grimmy and off tha chain!!!

Kula raha, achana na washamba washaoga maji ya upako hao, ni uchawi kwenda juu! hamna cha ulokole wala nini.
 
Si ajabu, kuna wanaume wa Kitanzania wanatoka na wanaume wenzao, jee mwanamke akijuwa kuwa mwanamme wake nae analiwa na wanaume wenzake nawe ndio huyo, inakuwaje?
 
Back
Top Bottom