Mr mgeni
JF-Expert Member
- Apr 27, 2014
- 1,222
- 812
Habari zenu wana jf,
Ni rafiki yangu wa kike yupo likizo taishi nae hadi likizo yake itakapoisha.
Jamani mimi ninavyojua kwa taratibu zetu za Kiafrika mgeni anapokwenda sehem kuishi huwa anapewa backgraund ya eneo husika ili ajue jinsi ya kuishi nao vizur na kujihami kwa wabaya kama wapo.Basi nami mgeni wangu nikaona ni vema nimueleze tabia za watu wa hapo walionizunguka ili kuepusha matatizo,kiukweli nilimpa semina na msititizo mkubwa sana na maneno niliomueleza ni mazito sana sababu jamii ninayoishi nayo nashindwa kusimulia kuna mambo mazito ajabu laiti kama nikimuambia mhusika hayo maneno sidhani kama hata salam yangu atapokea.Sasa basi huyu binti nilichomwambia kaenda kuwaeleza nadhani tena yooote hao majirani maana wananinunia sio kawaida na wapambe wangu wamenipa taarifa walizozipata mtaani kwamba nimemtuma huyu binti awaeleze nilichomueleza.Sijui hatima yake na kwa sasa naishi kwa mashaka.