Nahitaji mchumba(Binti)

Nahitaji mchumba(Binti)

Malindika

Member
Joined
May 26, 2014
Posts
46
Reaction score
15
Habari zenu wana JF,
Kama ambavyo title inaeleza,nahitaji binti kwa ajili ya uhusiano wa malengo.
Kuhusu mimi; Ni muslim,Bachelor holder, miaka 27,ninafanya kazi halali,naishi Dar

Nahitaji binti wa Kiislamu anayeweza kujihifadhi na anayejitambua.Nakaribisha PM

Ahsanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom