Simplicity.
JF-Expert Member
- Dec 19, 2013
- 2,636
- 1,664
Najua ndoa nane za JF ambazo hadi kufikia sasa zote zimekufa. Nilishahudhuria arusi za ndoa 2 kwa sababu wahusika walikuwa kwenye circle ya marafiki zangu, sita zilifungwa kibubububu na pia zimekufa kibudu. Ya mwisho imekufa leo kwa bonge la vagi mapema asubuhi hii, kisa jamaa aliendelea kutongoza MMU huku akidai hana mke wala mchumba - mke alidai kufuma PMs (Taarifa nimeipata kwa njia ya sms kupitia mtandao wa AIRTEL).
Mie pia nilishawahi kupata mchumba humu, lakini siku ya kwanza tu kuja kwangu alikuwa anachat MMU kupitia PMs huku amelalia mgongoni kitandani mwangu, halafu ananiambia "Baby nakuboa ee, am sorry nachat na rafiki yangu nataka kumwagizia nguo kutoka Thailand (Hapa najua kilichokuwa kinafuatia ni mzinga premium)", nilimwambia poa baby chacharika. Ilikuwa kila nikimkaribia, anafanya kama kuficha screen ya simu! Nilishtuka, kesho yake nikatengeneza ID nyingine, dah si nikamtongoza tena na akakubali!
Mapenzi ya MMU/JF ni kama gesi ya Swala, watu kibao wana hisa, na bado kuna nafasi!
Take risk and pursue your dream!