My Man Is The Best And Better Than Yours Definately! Inaumiza Watu Wengi!

lara 1

JF-Expert Member
Jun 10, 2012
15,700
29,111
Anyeonghaseyoooooooooooooooooooooooooooooo!

Naona mnakaribia kujaza pertition mada zangu na Mom Fay zisiruhusiwe MMU! Hahaaaa! From next week nitakuwa busy so ya leo namalizia malizia!

Kuna tabia ya watu hususani wanawake wengi kubuild a castle out of a mole hill na kuwanyima wenzao raha bila sababu kwenye mahusiano!

Mathalani hapa jamvini tukizungumzia suala la kuhonga, kila mwanamke yeye mchunaji, tunaapa hatuhongi! Ila ukweli ni kuwa once in a while tunatoa/kuhonga/kutreat/kusaidia palipo pungua! Whatever word that suit your concious! Nakiri hapa hata mimi kubwa la maadui nimekiwa victim wa trust abuse from men, not once not twice, mpaka nikapitisha azimio la NO FREE P! I am ashamed kiukweli that my trust, humor, and willingness to give was miss used, taken advantage of, never appreciated and in the end i let the ungrateful world turn me to something i am not. Well i hope it doesnt happen to others. If i regret or not that is a story for another day!

Mahusiano mengi ni VERY VERY VERY COMPLICATED, hamna mambo smooth, there are lot of challanges, unmet expectations, dissaponments, abuse, etc! Sasa wadada baadhi yetu tunafanya OVER DRESSING OF FACTS OR MANIPULATION OF INFORMATION, ili kuficha our dissapointments and unmet expectations. They try so hard kuaminisha ulimwengu na wenyewe binafsi kuamini they are so much better of than the reality! Its good to fight for what you love but dont hurt others in the process!

Mfano shosti yangu kakopa gari, mimi najua coz ndo nilimuunganisha na dealer, na wakati anakopa nilikuwa namsaidia ku review intrest rates za bank tofauti mpaka akaenda kukopa Mkombozi bank. So naujua ukweli, lakini sasa ofisini na kwenye jamii anadai His hubby bought the car for her, for their first anivesary, na zawadi ya kumzalia mtoto, she is so lucky! HIS MAN IS THE BEST AND DEFINATELY BETTER THAN OUR MEN.

Naelewa alikuwa kwenye mashauzi yake sasa kuna mtu mzima mmoja ni ndugu yangu, akaja kuniambia flani ana bahati, sanaaa, anapendwa, mimi nina watoto 3, 10yrs of marriage sijawahi kununuliwa hata pikipiki au nipewe hata 1m nijispoil! Akawa analia, very dissapointed with herself and her bitter fate! Anadai sio kwamba naona wivu, roho inaniumaaa, watoto wa juzi wale, wamenikuta wananiacha! Michozi inaendelea! Kidogo niuze CD kuwa ana mkopa hamna lolote nikajikaza kuchuna! Nikamwambia muamini Mungu wako, one day na wewe yes! Na ujiepushe na watu kama wale wa mashauzi, tunawaweza sie wenye roho za korosho!

Hii inatokea mara nyingi sanaa kwenye jamii coz tumeumbwa kutamani, na kujishaua! Sasa watu wengi wana overdress facts na ku manipulate info kuhadaa watu mahusiano yao ni the best of the best! Wanaumiza watu wengine, sababu kama mtu mahisiano yake yana mushkeli ukimwambia ukweli shoga kwangu mwenyewe kuna teketea tupambane, hakuna kirahisi unakua umemsaidia. Ila shoga poleee! Umekula hasaraaaa hasaraaa shosti! Mie hubby sijui kafanya hiki na kile poleee weeee! Watu na bahati zetu! My new guy is heavy! Heavy heavy kweli kajaaliwa na mambo anayajua, lazima nishushie diclopar, kumbe kibamiosis syndrome! The guy ananipeleka sehemu za maana vibaya mno, kumbe cost wana share sasa wewe unapelekwa bar unanuna unawaza flani kapelekwa sijui wapi kumbe hela yake ndo imempeleka! My guy anavaa banaaa! No ronya za kko kumbe anamnunulia, we uwezo huna ukimuona mupenzi kavaa midosho unakosa amani, Kumbe hamna lolote mnafanya watu wanakuwa depressed! Na mtu ukiona mahusiano yako magumu jua kote hivo hivo sema tunapishana misimu ya mvua na kiangazi!

OFF TOPIC (miss neddy, TATIANA, Khantwe, Kim nana kote hamsomi mnangojea hapa tu!)
My baby Matola he is really the best, wala siwarushi roho! He is so sweet, caring, passionate, tender, aaaaaaaaaaw! Yaaaaniiiiiiiii! we acha tu! He knows how to take care of a woman! Niacheni nifaidi mie! Nawaona mnavojitongozesha kwa kumquote yaaani hata Free P za kupoozea koo hamtoambulia! Nakaba mpaka penalty! Kantangazeeeeeee!
 
Last edited by a moderator:
Nimerudi:

Niliwahi kushangaa kuona binti anaset alarm kwenye simu yake, ikilia anaizima na kuanza kuongea kana kwamba kapigiwa simu. Na alikuwa na uwezo wa kuongea hadi dk 20 akijidai ni switpai wake.

Sikuwahi kumwelewa, nilidhani kadata, sasa umenifungua macho na nimekonekti dots.

Suala hili mie nalirudisha kwenye malezi. Tufundishe wanetu aidha kuwa 'content' ama kukubali maisha ya binadamu hayafanani ama vyote kwa pamoja.
Hii humfanya mtu kuwa huru.

Nakumbuka miaka ya 90 mwanzoni, kule Ihayabuyaga TV ilikuwa ishu. Kuna mdada alikuwa anatufunga kamba kwetu hivi mara TV 3 kumbe hakukuwa na hata moja. Mie niliwaza sana, kwa nini? Washakunaku tulipofunga walizuka hadi kwao, yaani aliaibika sana.

Tabia kama hizi mtu anakuwa nayo, na.sana inahusu self esteem.
 
Duh kuna ukweli kwenye hili,nimeona wadada wengi wanavyo pambana na maisha hasa kwenye mikopo ya magari ili wakawatishie wenzao kwa kauli za "baby kaninunulia gari" kumbe ni jasho lao.
 
well said mamit0 lara1 .guuuudaaaah!!.

my man Arovera is the best than wote niliowajua before hadi leo hadi kesho,nampendaaaa mpaka naumwa na siponi bila yeye,he knows how to care jamani,.he knows how to love me!!.nampendaaaaa sikuachi honey!!.umesafiri,promise ntakusubiriii baba watoto wangu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha! Tutakoma mwaka huu humu ndani,ukichungulia hapa unamkuta mamafey,huku lara moko wee!tunaloooo!!....... Back to the topic= ujue ni kweli kuna wanawake/wasichana wanajishaua jamani loh ndio mana sometimes wanaibiwa waume/mabwana zao kwa mishebeduo yao!!.......,.,...,....... Kuna best mmoja bana enzi hizo akitoka mara karudi na vinguo utamskia beby kaninunulia,simu sasa kila mwezi anabadilisha yan full mashauzi ili mradi siye wenye vibwana uchwara tuumie roho khaaa!! mwisho wa siku si kapinduliwa kifo cha mende na shost yake ndo tunayaskia zile simu alikuwa anabadilishana na rafiki zake,zile nguo za karumee alikuwa anajisagulia hakuna cha beby wala nini !!! Khaaa! Wanawake wanamambo!
 
hahahaha kuwarusha roho mashosti muhimu hata kama hubby ana mapungufu yake kufichiana siri muhimu hasa sie tunaomilikiwa na kina average joe mimi nina galaxy tab3 mashosti zangu wanajua hubby ndo kajipinda kumbe wapiiii ni bro wangu kanipiga tafu lol
off topic where is le shem matola leo kabanwa sana au
 
Kwa hii wiki inayoisha kumekuwa na ndoa nyingi sana hapa MMU,,wengine wanatafuta kwa nguvu! lara 1,,wasiwasi wangu ni isije kuwa hizi ndoa ni watu wanajiandaa na mfungo wa Ramadhani!Mfungo ukiisha,hamna cha honey wala cha ndugu yake laazizi wala mdogo wake baby!!

Sio kila anayetaja Mungu,Mungu ni mchungaji,wengine ni wawindaji,take care men!!Someni alama za nyakati

Nakupenda sana malkia wangu Bantu lady
 
Last edited by a moderator:
Mmmmhhhh.... Wenye waume zao!! Lol kumbe ndio wanayofanya eeeh???


Leo nimegundua siri.....

Nakushukuru lara 1 aka kubwa la maadui aka lara moko!! Umenitoaje tongotongo, make huku ofisini tunakoma... Oooh beib kafanya hivi mara kafanya vile, kumbe yawezekana shost anayafanya mwenyewe!!!
 
Last edited by a moderator:
Kwa hii wiki inayoisha kumekuwa na ndoa nyingi sana hapa MMU,,wengine wanatafuta kwa nguvu! lara 1,,wasiwasi wangu ni isije kuwa hizi ndoa ni watu wanajiandaa na mfungo wa Ramadhani!Mfungo ukiisha,hamna cha honey wala cha ndugu yake laazizi wala mdogo wake baby!!

Sio kila anayetaja Mungu,Mungu ni mchungaji,wengine ni wawindaji,take care men!!Someni alama za nyakati

Nakupenda sana malkia wangu Bantu lady

Dokta unaumwa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa hii wiki inayoisha kumekuwa na ndoa nyingi sana hapa MMU,,wengine wanatafuta kwa nguvu! lara 1,,wasiwasi wangu ni isije kuwa hizi ndoa ni watu wanajiandaa na mfungo wa Ramadhani!Mfungo ukiisha,hamna cha honey wala cha ndugu yake laazizi wala mdogo wake baby!!

Sio kila anayetaja Mungu,Mungu ni mchungaji,wengine ni wawindaji,take care men!!Someni alama za nyakati

Nakupenda sana malkia wangu Bantu lady

Halafu nime mmiss huyo mwanamke hebu muite tena shem
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom