Ligogoma
JF-Expert Member
- Aug 27, 2010
- 3,502
- 6,460
Jambo JF?
Chukulia wewe ni mtumishi katika taasisi moja kubwa, uliajiriwa ukiwa na diploma miaka kadhaa iliyopita but ukajiendeleza kielimu ila ukasoma kitu kingine nje ya taaluma ile uliyoajiriwa nayo mpaka ukafikia kiwango cha kuwa na masters. Kwa minajili hiyo ofisi iligoma kutambua vyeti vyako pamoja na kwamba uliandika barua mara kadhaa kuomba kufanyiwa 'recategorization' bila mafanikio.
Siku moja mligongana na bosi wako maeneo ya starehe wewe ukiwa na maswahiba wako wake kwa waume, bosi wako akakaa nanyi kwa muda then akaondoka.
Kesho yake bosi alikuita ofisini kwake na kuanza kukudadisi juu ya mmoja wa wasichana ambaye aliwakuta nae kwenye starehe hapo jana hivyo akasema wazi kwamba nafsi yake imemdondokea (kampenda). Kwa kuwa binti mwenyewe ni mtoto wa mjini ulipoongea nae binti akakubali kwa sharti la mkwanja mbele kitu ambacho bosi alikubali na wakaridhiana.
Ukiwa huna hili wala lile, baada ya wiki kadhaa ukapokea barua ya kukubaliwa kwa elimu yako, ukapanda na cheo kuhamishiwa kwenye position inayofit elimu yako ya masters ambapo awali jambo hilo lilikataliwa kabisa kabisa.
Je, hapo utasema umepanda cheo kwa vyeti vyako au sababu ya mbunye??
Je, utajisikiaje kutoka moyoni kwamba ukuwadi ndiyo uliofanikisha maisha yako??
Je, utakitumikia cheo hicho kwa moyo mmoja??