Hofu ...!

Hofu ...!

Eiyer

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2011
Posts
28,259
Reaction score
20,920
Huna sababu ya kumhofia kama hajakupa sababu ya kufanya hivyo ........

Ukiwa na hofu kama hajakupa sababu ya wewe kuwa na hofu hiyo juu yake basi una tatizo kubwa la kutokujiamini

Kwanini unakuwa na hofu na wasiwasi wakati mazingira yanakuambia uwe na amani?
 
Out of topic.
Baba paroko ndo padri naomba kujuzwa please.
Ni mtu ambaye kikanisa anaheshimika sana.

Afu Eiyer nlikuwa hapo from thursday nakupigia hupokei simu.
 
Last edited by a moderator:

Una kesi kubwa sana na mimi ......

Kitakachotusuluhisha mimi na wewe ni kimoja tu ...

Na unakijua .!!
 
Huna sababu ya kumhofia kama hajakupa sababu ya kufanya hivyo ........

Ukiwa na hofu kama hajakupa sababu ya wewe kuwa na hofu hiyo juu yake basi una tatizo kubwa la kutokujiamini

Kwanini unakuwa na hofu na wasiwasi wakati mazingira yanakuambia uwe na amani?

baba paroko zile divai za pale altareni ni kwa ajili ya ibada tu kukumbuka bwana alivyojitoa kwa maondoleo ya dhambi zetu, siyo ukipata kiu uzinywe zile.
 
Mkuu ile ni kwaajili ya ibada tu

Hii hata mzee Asprin anajua ....

CC: Kaizer ....!!
 
Last edited by a moderator:
Acha tu niwe na hofu incase...
sitaki kujiaminisha sana yakinikuta ntakufa kwa haya makopa kopa yaliyojaa ndani ya moyo wangu

Unaona sawa kufanya jambo bila sababu?
 
Back
Top Bottom