Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Ni muhimu kuweka mazingira mazuri kwa mwenza wako wakati wa kulala, maandalizi ya chumba, mpangilio wa vitu, rangi zake, uvaaji wako, shuka kitandani na style ya mito Dinner iliyoandaliwa vema...
2 Reactions
66 Replies
5K Views
:lock1:Kuna kitu nimekisoma kwenye moja ya maada wanajamvi kimenigusa sana. Nipo kwenye ndoa huu mwaka wa NNE sasa. na kabla ya hapo nilikuwa na mahusiano ya kimapenzi na mke wangu wa sasa kwa...
2 Reactions
64 Replies
10K Views
Mpenzi wangu wakati wa mechi ; uwa mkimya lakini muda ukizidi kukolea akizdiwa wakati wa ................ Uanza kuniuliza kwa kelele ''mpenzi wangu unataka nini nikupatie'' mimi uwa nashindwa...
0 Reactions
79 Replies
14K Views
Jiangalie wapi umetenga fungu kubwa kwa ajili ya entertainments.
2 Reactions
57 Replies
7K Views
jamani habari za muda huu? mimi nimekua nikiangalia jinsi mambo yanavokwenda na hasa katika dunia hii ya utandawazi yenye kila aina ya vituko na nakua muda mwingine nacheka mwenyewe...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Habari... nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea). leo tukakubaliana tule lunch, akakubali... lakini kutokana na foleni...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Siku hizi vijana ambao hawajaoa wamekuwa wakisema kuwa mwenza wanaemhitaji wanataka awe hivi au vile ili kujiridhisha Dhana hii inatokana na dhana nyingine ambayo vijana tumejijengea kuwa ukiwa...
6 Reactions
49 Replies
5K Views
Dada zetu mnatutia majaribuni sana na nguo zenu za kubana miili..vaeni vizur..au mpunguze walau kidogo.
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Kwa masikitiko makubwa wadau, naombeni yeyote mwenye taarifa ya alipo mchumba wangu queensila ambaye tulipoteana tangu mwaka 2012 mahenge mkoani morogoro. Naomba mwenye taarifa na mawasiliano yake...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Najitokeza kwenye uwanja huu nami kuweka tangazo langu la kumsaka mwenza wa maisha. Kwa wale tu wenye dhamira ya dhati ya uhitaji naomba mni-pm. Sifa za mke nimtakaye ni:- 1. Mkristo 2...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
wana jamvi mwenzenu nimeshangazwa sana na yaliyo nikuta jana. Kama kawaida hunter nime opoa mtoto kutoka mafichoni, alianza kwa kuniuliza nimuahidi kama sita muacha asilan, nami nikasema ndiyo...
0 Reactions
24 Replies
5K Views
Mchepuko umeiteka akili kazi kwamba simpendi tena Mke wangu. Kwa kweli najaribu kuirudisha akili yangu mahala pake lakini kunakuwa Kama kuna nguvu isiyo ya kawaida ikinishikilia. Naombeni msaada wenu
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Ni muda tu umepita tangu nitoke nyumbani ambako ndiko nimekuja na maswali njiani Nilikwenda nyumba ni kupeleka ka mzigo flan hivi ambako kabla ya kwenda huko nilikuwa nimekwenda kumpa pole jamaa...
1 Reactions
107 Replies
9K Views
Umepata mwanaume ambaye unaona tayar anaweza kuwa mumeo, anza kumwambia iv napenda sana mwanume anayependa kuvuta sigara or kunywa pombe or hata mambo m mengne ambayo ww unayoyaona hupend tena...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Hivi inawezekana mke/mme wa mtu akawa anapata real love kwa mchepuko??? Na je who is responsible for giving real love kwa mwenza kati ya mchepuko na mme/mke??? Nimebaki idle baada ya my friend...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Natumai wote ni wazma mda saa na wakt kama huu,. Moja kwa moja nirejee kwenye maada. Ktk pita pita zangu mitaani na kuperuz kwenye mablog mbalimbali na hata hapa jf nmeona watu wengi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Binti: Hallo bebi naomba unitumie credit ya 5000 please. Afu ukija nyumbani usisahau kuja na take away, niko na friends, Mage na Jamila Hujakaa sawa: Hlaf bebi nadaiwa 30000 nilikopa kwa ajili...
6 Reactions
102 Replies
12K Views
Wakuu habarini.. Kuna dhana imejengeka sana hasa huku afrika kwetu kwamba mwanamke huzeeka mapema! Je swala hili ni kweli? na kama ni kweli huwa inasababishwa na nini? Mbona data zinaonesha...
0 Reactions
50 Replies
10K Views
Katika uchunguzi wa muda mrefu, inaonekana kuwa wazee wengi wa kichaga hawapo karibu sana na wake zao wa ndoa,ukiacha wale ambao huwatelekeza wake migombani (Moshi), ukitembelea majumbani huko...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…