Ndoa za wazee wa Kichagga kimtindo!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndoa za wazee wa Kichagga kimtindo!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by ngoshwe, Sep 11, 2012.

 1. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #1
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Katika uchunguzi wa muda mrefu, inaonekana kuwa wazee wengi wa kichaga hawapo karibu sana na wake zao wa ndoa,ukiacha wale ambao huwatelekeza wake migombani (Moshi), ukitembelea majumbani huko Moshi, hata wale waliopo huko vijijini, hawalali nyumba au chumba kimoja na wenzi wao katika ndoa. Labda yawezekana kabisa mila za Kichaga haziruhusu watu wazima kuishi pamoja (kuna ule utani eti kina mama wapo busy zaidi na kusakanya fedha kuliko mapenzi), lakini kwa kiasi fulani yaonyesha wazee wengi ambao wameoa wachaga wenzao wanatumia desturi hiyo ya kikabila kufanya mambo ya kihuni katika umri wa utu uzima (kuishi na vibinti vyenye umri sawa na wana wao)na pengine wanakuwa wababe sana kwa wake zao wa ndoa, kina mama wengi kule Moshi wanaheshima kuu kwa waume zao kwa kila kitu hata akipotoka si rahisi sana kuhojiwa!!. Nina takwimu za familia nyingi tu zilizo katika mahusiano haya tata!. Labda wenzetu wanaweza kutuelimisha kwa nini ipo hivi!
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Sep 11, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Mambo ya zamani hayo, sasa hivi mie sijui nyumba (kwa walio karibu na mimi) ambayo baba na mama hawachangii chumba kimoja.
   
 3. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #3
  Sep 11, 2012
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Yapo leo hayo!
   
 4. by default

  by default JF-Expert Member

  #4
  Sep 11, 2012
  Joined: Jul 11, 2011
  Messages: 843
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  mara wanawake wa kimachame wanauwa waume zao sasa yamekuwa haya wazee wanachukua watoto , hizi story zinachosha sasa waacheni wachaga bana ata wazaramo wanastail kujadiliwa
   
 5. Mkali Tozz

  Mkali Tozz JF-Expert Member

  #5
  Sep 11, 2012
  Joined: Aug 9, 2012
  Messages: 279
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka huo ni utafiti wako? au ni zile habari za kale!
   
 6. Lokissa

  Lokissa JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 7,079
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  its true kijana akishaoa enzi hizo analala na mke wake lakini akijifungua anatengewa chumba chake
  lakini sio sasa.muda wa kukutana kimwili ni siri sana hata watoto hawawezi kujua
  mzee anaomba achomewe ndizi mama akikubali ni ishara ya wao kukutana usiku kisiri
  au mama anaamua mwenyewe kuchoma ndizi anamtuma mtoto ampelekee baba yake
  baba anavunja kipande anamtuma mtoto amrudishie mama yake ni ishara ya yeye kukubali mapenzi siku hiyo,
  asipovunja kipande siku hiyo mzee hataki, pia ndizi ilitumika kama ishara ya kuombana msamaha kama wamekoseana
  na mapenzi yalikuwepo tena sana
  kwa sasa hali imebadilika
   
 7. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Si wao bhana....
  Watajua wenyewe......!!!
   
 8. MankaM

  MankaM JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2014
  Joined: Apr 20, 2013
  Messages: 9,493
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  mmmh kuna ka ukweli lakin kwa mbaaaaaaaaliiii
   
 9. Ennie

  Ennie JF-Expert Member

  #9
  Jun 28, 2014
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 7,145
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Nimeipenda hii ya ndizi peleka salamu!!!!
  Kuna Ile ya familia kuwa na mtoto ambaye si wa baba mwenye boma biologically,huyu ni maalum kama kikifanyika kitu cha kuteketeza ukoo pawe na mtoto atakayebaki bila kudhurika.
  Mila hizi!!!!
   
 10. Valentina

  Valentina JF-Expert Member

  #10
  Jun 28, 2014
  Joined: Oct 12, 2013
  Messages: 19,849
  Likes Received: 15,391
  Trophy Points: 280
  Shikamoo!
   
 11. serio

  serio JF-Expert Member

  #11
  Jun 28, 2014
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 5,925
  Likes Received: 1,133
  Trophy Points: 280
  sure.. kuna familia nyingine zenye pesa hazisafiri kwenye ndege moja atiiiiii...
  if anything happens, there must be a survivor
   
Loading...