Lenin V.I.U
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 218
- 62
wana jamvi mwenzenu nimeshangazwa sana na yaliyo nikuta jana.
Kama kawaida hunter nime opoa mtoto kutoka mafichoni, alianza kwa kuniuliza nimuahidi kama sita muacha asilan, nami nikasema ndiyo. cha kushangaza akanambia siku akija geto anataka nishike biblia(kwa sababu mimi ni mkristo) eti ni ape mbele yake kuwa sita mwacha, nimefikiria sana issue hii kwa sababu naiheshimu sana biblia na naogopa kuisaliti.
Nimeshangazwa sana na mdada huyu.