Usinung'unike zamu yako bado

Usinung'unike zamu yako bado

7 5 mm

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2014
Posts
352
Reaction score
203
Natumai wote ni wazma mda saa na wakt kama huu,.
Moja kwa moja nirejee kwenye maada.
Ktk pita pita zangu mitaani na kuperuz kwenye mablog mbalimbali na hata hapa jf nmeona watu wengi wanalizungumzia sana na kulichukulia tofauti suala la kuoa na kuolewa.
Nmeona watu wengi hasa wanaume wanatoa sababu mbalimbali za ambazo znawafanya wadada wasiolewe.
Tumekomalia san kuwalaumu wanawake kuwa hawajitambui na sababu nyingi kedekede.
Binafsi siwez kukubaliana na hizo sababu wala kupinga lakin yatupasa tukumbuke kitu kimoja kuwa ndoa ni suala ambalo hupangwa na Mungu.
Naongea haya kwasababu nmeyaona.
Kuna wanawake wanakila tabia chafu kama vile uchoyo,umalaya, ukali,ulevi na kiburi lakn wameolewa na wanafumaniwa lakn bado wapo kwenye ndoa.
Na kuna wengne wamezaa nyumbani zaidi ya mtoto mmoja na wakapata wachumba na wameolewa,
Wapo ambao wana kila sifa ya kuwa wife material wapole,heshma na wanajitambua lakn wamezeekea nyumban.
Tutambue jambo moja kuwa mapenz ni hisia na hisia ndiyo humforce mtu kuvutiwa na mtu flan na kuamua kuishi naye.
Tambua ya kuwa unaweza kuwa na sifambaya au tabia mbaya sana lakn ukawa na tabia au sifa moja tu ambayo ni nzur au ambayo ni kivutio kwa mhusika na hyo ndiyo itakayofunika mabaya yote uliyonayo na kukufanya uonekane mwema mbele ya mwanaume.
.
.
.... Kila kitu hupangwa na Mungu, usihangaike hata kutafuta wanawake au wanaume kwenye mitandao kama hujaolewa jua Mungu hajakuonesha wako.
...............OMBA MUNGU SIKU ZOTE...........
 
Kuolewa ndio nini? Tukibadili hii term vichwani mwetu ndio tutapata suluhu ya kwanini wanawake wngine hawabahatika kuipata ndoa... Ila kwa sasa bado kidogo tupo gizani""
 
Kuolewa ndio nini? Tukibadili hii term vichwani mwetu ndio tutapata suluhu ya kwanini wanawake wngine hawabahatika kuipata ndoa... Ila kwa sasa bado kidogo tupo gizani""
tuambie ww ss, maana yake nini
 
Kuolewa ndio nini? Tukibadili hii term vichwani mwetu ndio tutapata suluhu ya kwanini wanawake wngine hawabahatika kuipata ndoa... Ila kwa sasa bado kidogo tupo gizani""

huwa tunajifunza na kupata maarifa kwa kubadlishana mawazo . Tuambie mkuu hiyo dhana
 
Kuolewa is a LUXURY! Ngoja nimalizie hii wine nitakuja kutoa hoja nzito kama ya Deo Filikunjombe!
 
Tujiulize kwann mwanaume akitaka kuoa hakosi lakini kwa mwanamke akitaka asubiri bahati...
 
Imekua bahati kutokana na mfumo uliopo... Mmke amekua km bidhaa tu ambayo mpk mteja aridhike nayo ndo anainunua... So ikiwa bidhaa hiyo ipo kwenye soko la ushindani thamani yake inashuka sanaaa... """
 
sasa hata kama ni hvyo isipelekee kukata tamaa na kupewa tuhuma mbalimbali
 
Back
Top Bottom