Huyu msichana ananifaa?

DOOKY

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
370
50
Habari...

nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea).

leo tukakubaliana tule lunch, akakubali...

lakini kutokana na foleni nikachelewa, aliniambia ameagiza chakula..

nilipofika kwenye mgahawa ule.. nikamkuta na njemba wakipiga story na kula pamoja... nikauliza mko wote akajibu hapana...

nikaenda kunawa.. lakini demu akaganda kwa njemba.. ghafla njemba akadai pale hapako fresh hivyo wasigee ndani kidogo msichana akamfuata huku akiniacha nawaangalia... nikamtext "vipi kumbe uko na mtu wako, akajibu ni kampani tu..

kikamwambia mbona hunichangamkiii sasa..akajibu niache majungu...

baadaye nikasepa.. baada ya kudai atalipa mwenyewe msosi. sikuwa na hamu tena ya kukaa pale//

swali huyu msichana vipi?,,,, nisepe au?
 
heheeee umeshaambiwa uache 'majungu'
bado huelewi tu?...

ha haaa kusoma hujui na picha huoni?

vicheche vya mjini havina hata haya....alikusubiria wewe
uje na nyimbo zako but buzi lingine likaingia king fasta...
sasa wewe na nyimbo zako anakuita majungu...
nina uhakika atakutafuta na story ya uongo baadae
ili mchunwe wote lol
 
Hebu fikiria na wewe kwani hapo unaona ni salama?
Au unafata hela?
 
heheeee umeshaambiwa uache 'majungu'
bado huelewi tu?...

ha haaa kusoma hujui na picha huoni?

vicheche vya mjini havina hata haya....alikusubiria wewe
uje na nyimbo zako but buzi lingine likaingia king fasta...
sasa wewe na nyimbo zako anakuita majungu...
nina uhakika atakutafuta na story ya uongo baadae
ili mchunwe wote lol

The Boss kwa maelezo haya uliyoyatoa, kama ni mtu wa kuelewa naamini ameelewa!
 
Habari...

nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea).

leo tukakubaliana tule lunch, akakubali...

lakini kutokana na foleni nikachelewa, aliniambia ameagiza chakula..

nilipofika kwenye mgahawa ule.. nikamkuta na njemba wakipiga story na kula pamoja... nikauliza mko wote akajibu hapana...

nikaenda kunawa.. lakini demu akaganda kwa njemba.. ghafla njemba akadai pale hapako fresh hivyo wasigee ndani kidogo msichana akamfuata huku akiniacha nawaangalia... nikamtext "vipi kumbe uko na mtu wako, akajibu ni kampani tu..

kikamwambia mbona hunichangamkiii sasa..akajibu niache majungu...

baadaye nikasepa.. baada ya kudai atalipa mwenyewe msosi. sikuwa na hamu tena ya kukaa pale//

swali huyu msichana vipi?,,,, nisepe au?

Ndugu, yaani msichana kakuonyesha dalili zote za ukicheche bado mtu anauliza hbr za kusepa au laa?! Sasa unataka kubaki ili iweje? Hebu jiulize mtakuwa wangapi?!
 
anafaa kwa kuliwa kama analipa, lakini usiwe na mahusiano naye ya sirias. au ya mda mrefu. ingia gharama kidogo halafu ukishatimiza azma yako mpe za uso..ndio dawa ya mademu wanaojifanya wako dakika moja mbele.
 
Habari...

nilikutana naye Saloon moja hapa mjini... akakubali kutoa namba na jana usiku tuliongea mengi tu (sikumtokea).

leo tukakubaliana tule lunch, akakubali...

lakini kutokana na foleni nikachelewa, aliniambia ameagiza chakula..

nilipofika kwenye mgahawa ule.. nikamkuta na njemba wakipiga story na kula pamoja... nikauliza mko wote akajibu hapana...

nikaenda kunawa.. lakini demu akaganda kwa njemba.. ghafla njemba akadai pale hapako fresh hivyo wasigee ndani kidogo msichana akamfuata huku akiniacha nawaangalia... nikamtext "vipi kumbe uko na mtu wako, akajibu ni kampani tu..

kikamwambia mbona hunichangamkiii sasa..akajibu niache majungu...

baadaye nikasepa.. baada ya kudai atalipa mwenyewe msosi. sikuwa na hamu tena ya kukaa pale//

swali huyu msichana vipi?,,,, nisepe au?

Hivi na wewe unaokota msichana wa saloon halafu unafikiri umepata? Hao ni chamote na huwa usiku mara nyingi wanajipanga barabarani kwa biashara. Una deal na CD na pale alikuwa kazini!!! Kweli wanawake wameisha and you such low mkuu?
 
Hapo mwenye macho sikuzote haambiwi Tazama,kwa kuwa uliona mwenyewe ilitakiwa tu usepe fasta?
 
heheeee umeshaambiwa uache 'majungu'
bado huelewi tu?...

ha haaa kusoma hujui na picha huoni?

vicheche vya mjini havina hata haya....alikusubiria wewe
uje na nyimbo zako but buzi lingine likaingia king fasta...
sasa wewe na nyimbo zako anakuita majungu...
nina uhakika atakutafuta na story ya uongo baadae
ili mchunwe wote lol

mkuu nakuaminia sana kwenye issue za ujanja ujanja wa town!!!!big up kaka ulichomwambia hapa ni sahihi kabisa
 
kuna mambo yakuomba ushauri sikama hili ambalo halihtaji hata kuumiza kichwa kufikiri.ushauri endelea kusubiri arudi muchunwe wote
 
Hapo mwenye macho sikuzote haambiwi Tazama,kwa kuwa uliona mwenyewe ilitakiwa tu usepe fasta?

Mkuu MARAHABA unamwambia asepe wakati yeye anatamani kumsubiri sasa ameleta hapa ili badae aje aseme tulimshauri aka
 
...mmmh..! km unataka kuunga tela unga, lkn anaonesha ni kicheche. sepa magonjwa mengi
 
we endelea naye..sema ndo upunguze majungu kama alivyosema..,mademu kibao wa saloon wanakukubali tatizo lako majungu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom