Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,070
Ni muhimu kuweka mazingira mazuri kwa mwenza wako wakati wa kulala, maandalizi ya chumba, mpangilio wa vitu, rangi zake, uvaaji wako, shuka kitandani na style ya mito
Dinner iliyoandaliwa vema maji ya kuoga fresh pyjamas then mnafunga mlango mnawasha taa ndogo ya rangi then mnalazana kitandani mnaongea mazungumzo laini yasiyoleta stress
Usiku huwa mtulivu na usingizi huwa mororo, shida ni pale utakapolala kitanda hicho hicho pekeyako!!! Utakumbuka mengi