Huyu bi dada ana hatari

Huyu bi dada ana hatari

Ukiwa mjamzito ukifanya mazoezi wajiskia raha sana ila kukimbia hii kiboko.....
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Mazoezi poa ila kukimbia mie nimeshangaa sana, na tumbo lake lilivyo kubwa. Hebu fikiria kama bahati mbaya angeanguka. Hongera zake, lakini ni hatari sana.

Ukiwa mjamzito ukifanya mazoezi wajiskia raha sana ila kukimbia hii kiboko.....
 
Mazoezi poa ila kukimbia mie nimeshangaa sana, na tumbo lake lilivyo kubwa. Hebu fikiria kama bahati mbaya angeanguka. Hongera zake, lakini ni hatari sana.


Hatar kweli tena anafanya hatar kupita kiasi lakin mungu mkubwa kweli kuna wengine wanapewa bed rest hata kijiko hawanyanyui lol ila huyu yeye anaenda mbio kuliko paa lol
 
Ukifuatilia vizuri kwa ukaribu hautashangaa kisikia alijifungua mara baada ya kumaliza hizo mbio japo miezi haijatimia.

Mbaya zaidi inafanya wajawazito wengine waonekane huwa wanajilegeza kama si kudeka.
 
Hahahah mie napenda kutembe kwa madoido na kitumbo changu mwenyewe najiprndaje nkiwa mjamzito na mikikimiki yote naweza ila huyu kiboko

sijui ni kujiamin au alitaka kuinesha watu how strong she is? mim naona mateso
 
Hahahhahaha hata mtoto wa ng'ombe hakimbiii siku hiyo hiyo

Acha kabisa dadaangu, kuna watoto wa wanyama wengine akishazaliwa tu anapulizwa upepo kidogo tu anaingia barabarani.
 
Bila shaka kaivunja, sidhani kama kuna mjamzito wa wiki 34 1/2 aliyewahi kushindana mashindano ya 800m na pia kumaliza katika muda huo. Huyu anaweza kuwa wa kwanza duniani kufanya hivyo.

Huyu anatafuta rekodi ya dunia kwenye kitabu cha Guiness
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom