Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jamani kuna du mmoja ananipenda xana ila me simpendi Na imefikia anajisifia kitaani anatembea na me hata kufikia kuanza kunitumia hela kwenye cm yangu Nimfanya je?
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wana Jamii, Kumekuwepo dhana ya wanawake Kuwaita majina mengi sana, mengine yamelembwa zaidi kwenye maboresho ya kuonyesha upendo. Utasikia honey, my sweet , waziri mkuu n.k. lakini mwanandani...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
mm ni beuti kama jina langu linavyojieleza,naishi MWANZAnahitaji boyfriend wa kimapenzi awe na sifa zifuatazo 1.umri 18-21 2.mwenye elimu 3.handsome 4.awe anaishi MWANZA 3.awe mkweli, kwa...
2 Reactions
66 Replies
8K Views
Wana jamvi mi naona kuna haja ya bunge kuangalia sheria upya juu ya hawa viongozi wanafunga barabara kwa misafara yao ili na wao wawe wanapanga foleni. Ona sasa mtoto kanisubiri ana mood kinoma...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kuna rafiki yangu wa kiume alimtongoza gal flan hv,yule gal akamwambia kua ana mtu wake,jamaa akabembeleza bt yule gal akaendelea kushkilia mcmamo wake kuwa ana mtu,but kinachomshangaza huyu...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Boy: Hi baby!! How are u? I'm so happy today!! Girl: Wait, I'll text u later, I'm still busy with my thesis. Boy: Can u do it later? Letter talk first.. I miss u so much baby. Girl: I have...
5 Reactions
22 Replies
4K Views
Nashukuru sana
0 Reactions
0 Replies
756 Views
nipo mbeya kimasomo kwa sasa ktk chuo fulani hapa mjini,sasa kuna rafiki yangu ambaye anakaa na rafiki yake wamepanga rum moja,tatizo huyu rafiki yangu ana demu wake ambaye pia ni...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
nimebahatka kumpata mchumba(wa kike) baada ya kupost sifa jf, sasa nahtaji nijue taratib za kuoa Mmarangu kwa anaejua.
0 Reactions
46 Replies
6K Views
Wanna Jf, Kumekuwepo malumbano mengi kwenye familia na manunguniko juu ya uzao wa watoto wakati. Watoto wengi wa kati au mwisho tukichukua DNA Zao huenda familia nyingi zitapalanganyika. Kwa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Du jamaa anaenjoy hahahahahaha
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Asalaam Aleikum mabibi na mabwana jukwaani hapa.... Eeh bana nina shosti angu ambaye tunasaidiana kwenye shida na raha, sasa shosti huyu naona anaelekea kubaya. Juzi kati alikuja kwenye...
4 Reactions
57 Replies
4K Views
Nimerudi tena. Yule baba wa mtoto anataka dna alfu kumbe ana mtoto mwingine nimechanganyikiwa.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
NATAFUTA MPENZI,mimi ni kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 28...naishi mlandizi,kiukweli nahitaji msichana wa kudumu naye kwenye mapenzi.......awe mkristo....naitwa james.....0656411631
0 Reactions
17 Replies
2K Views
True relationship never come frm blue sky,needs time,tolerance, commitment n positive attitude to ur partiner kwamba hata inapotokea amekosea you just experience the pain huku moyoni ukijisemea...
1 Reactions
111 Replies
8K Views
"Bwana Mungu akasema, si vema huyo mtu (Adamu) awe peke yake nitamfanyia msaidizi wa kua nae. Bwana Mungu akamletea Adamu usingizi mzito naye akalala kisha akatwaa ubavu wake mmoja na akaufanya...
2 Reactions
41 Replies
5K Views
Kwenu mabinti,kabla ya kutanua miguu kwa wanaume waliooa tafadhali soma hapa: 1. Kitu anachokitaka kwako ni sex tu. Atakuja na kuondoka kurudi kwa mkewe na familia yake. 2. Hawezi kumuacha mkewe...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke? Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha...
2 Reactions
43 Replies
7K Views
Natafuta rafiki wa kike mrembo wa kuchati nae na kubadirishana mawazo. Nina umri miaka 29, mcheshi, napenda story, utani. Mawasiliano zaidi 0719450426 (whatsapp na viber,pia unaweza piga au...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kwetu huku Tandale hakuna shida bidhaa zipo za kumwaga na bei ya kutupa vile vile, hebu nenda Masaki uone cha moto.... Huenda hizi siyo taarifa nzuri kwa wale wenzangu na miye kina pangu pa kavu...
17 Reactions
83 Replies
8K Views
Back
Top Bottom