Nijuzeni taratibu za kuoa uchagani.

Nijuzeni taratibu za kuoa uchagani.

Johne

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2013
Posts
328
Reaction score
78
nimebahatka kumpata mchumba(wa kike) baada ya kupost sifa jf, sasa nahtaji nijue taratib za kuoa Mmarangu kwa anaejua.
 
Andaa pipa 6 za mbege,mikungu ya ndizi 28,uwe unamiliki butcher zaid ya 8 za kitimoto,banda la kufugia kitimoto na uwe nao zaid ya 55,mbuzi kwa ajili ya ndafu na vitu vingine vidogo vidogo.....hapo unajing'olea kiulain tu mtoto wa kichaga
 
macho yangu bana, hapo kwwnye mikungu g nlijua ni d.

Andaa pipa 6 za mbege,mikungu ya ndizi 28,uwe unamiliki butcher zaid ya 8 za kitimoto,banda la kufugia kitimoto na uwe nao zaid ya 55,mbuzi kwa ajili ya ndafu na vitu vingine vidogo vidogo.....hapo unajing'olea kiulain tu mtoto wa kichaga
 
nimebahatka kumpata mchumba(wa kike) baada ya kupost sifa jf, sasa nahtaji nijue taratib za kuoa uchagani kwa anaejua.

Shenzy ukimgusa my miss chaga navunja meno mawili ya mbele, kiuno, paja la kulia, dole gumba la kushoto, na pua.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom