Kuna rafiki yangu wa kiume alimtongoza gal flan hv,yule gal akamwambia kua ana mtu wake,jamaa akabembeleza bt yule gal akaendelea kushkilia mcmamo wake kuwa ana mtu,but kinachomshangaza huyu mshkaji,kila akimwomba gal wakutane gal hakatai,anakuja wanapga story,demu anamwambia mshkaji kuwa in long run wanaweza kuwa wote bt kwa sasa big NO coz ana mtu..sa mshkaji anajiulza ni kwel demu ana mtu au aendelee kumganda mpaka kieleweke?