Lenin V.I.U
JF-Expert Member
- Mar 28, 2014
- 218
- 62
Wana jamvi mi naona kuna haja ya bunge kuangalia sheria upya juu ya hawa viongozi wanafunga barabara kwa misafara yao ili na wao wawe wanapanga foleni. Ona sasa mtoto kanisubiri ana mood kinoma, amenisubiri mtoto wa kiume nimfikishe kileleni, kama kawaida nipo barabarani na mimi nishaikoki mashine vizur maalum kwa mapambano mara eti MSAFARA WA RAIS nimekaa barabarani mpaka mtoto kachoka kunisubiri kaondoka. aaaakh