Nimekutana na hili jambo linanitatiza sana nina mchepuko wangu ambao napunguzia stress mara mojamoja ila ajabu kila tunapokua 6/6 nikikaribia kilele anaomba nimalizie nje na ajabu ni kwamba...
Ni mwaka mmoja tangu tuwe na mahusiana tulikuwa wenye furaha ! Tulielewana ki tabia tukavumiliana , nikaja lipa mahari ! Familia yangu iko buzy kuandaa harusi mwz wa nane umeanza vituko , mamako...
Habari zenu wakuu.
Hapa mtaani kwetu kuna mtoto wa miaka miwili, ila kwa miezi sita sasa najaribu kumfuatilia hajawahi kukosea kuvaaa viatu vya aina yoyote anavyopewa ili avivae.
Hivi hii ni...
Ndg zangu wana Jf katika hali ya mazoea ni nadra kusikia mwanaume akijisifia kuwa kamfikisha mwenzi wake bali wengi hujisifia wamefika kati ya mara 3 mpaka 5, wengine wanathubutu kusema wamefika...
Wadau nina rafiki yangu anaitwa G ni mwanachuo mwenzangu hapa mkoani Mwanza.Napata shida sana kumpa ushauri juu ya hili.Yeye anampenz wake ambaye kila siku lazma afke anapoishi akitoka chuoni...
Nina mke wa miaka 6.. Najitahidi kumwamdaa kabla ya tendo la ndoa.. lakini ata nikifanyaje anachelewa
sana kupata "mood"..na kuchelewa zaidi kufika keleleni.. Ikitokea naitaji haraka haraka kama...
Habari sangu wanaMMU?
Nimefanya uchunguzi kwa muda mrefu kutuka kwa wadada niliofanya nao ngono either ni ngono zembe au ngono salama,ktk uchunguzi huo nimegundua ni rahisi sana wanawake baada ya...
Natakiwa nimfanyaje?
Yaani watoto wengine wa kike ni balaa ndani ya familia.
Huyu mdogo wangu ni watatu kutoka kwangu,
Na ana miaka 17.
Nimeshtuka sana baada yakuambiwa kajichora matatoo...
Huwa unanunua kondom dula la karibu na nyumbani ama mbali mahali ambako hufahamiki kabisa?
Nataka kufahamu kondom ina aibu gani wakati wa kwenda kuinunua maana kuna sehemu nyingine ukienda...
ndo mimi Mr mgeni,
nipo nipo kwa Wareno hadi mfungo wa mwezi mtukufu utakapoisha kama upo huku nilipo mwwana jf ni pm takutafuta kwa garama zangu sawa amigo
Wadau, i believe mpo Poa.
Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.
Akaja nikubali...
PLEASE..! please..!
This is for ladies, but not those,,,, it's special for one who can deserve to be average kind woman, meaning that the lady who is not much modern at the same time is not too...
Pamoja na kuwa nimezoea kuona masikio, puani, au juu ya jicho na kitovuni lakini nikikiona kwenye ulimi huwa sishangai sana. Ila hi ya kuweka sehemu za siri kabisa kwenye utamu huwa inanishangaza...
kwa wale wanaozani mwanamke ni dhaifu, itakua ni msemo tu!! juzi tu mtaani kwetu bosi mmoja na kiongozi wa serikari halijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuleta nyumbani mtoto wake wa kike...
Aise nimekuwa nafikiria sana kutokana na rafiki zangu. Changamoto nyingi sana za maisha ya kuoana na kufanya watu wafe haraka.
Hivi kunaumuhimu wowote wa kuoa au kuolewa?
Wanawake wengi sana wamekuwa wakilia pindi wanapo pata matatizo, wameshindwa kuvumilia yale yanayotupata, mfano wengine huniambia tunawaambia wakilia wana machozi ya promotion.
Hii pia nimeiona...
Neno la leo linasema hivi, to all MMUs looking for the perfect guy....
"The perfect guy
Doesn't DRINK
Doesn't SMOKE
Doesn't CHEAT
And Doesn't EXIST"
Waione AshaDii gfsonwin DEMBA Asprin Teamo...
Habari,nashukuru mungu jana nijifungua salama mtoto wa kike ila baba yake kaniambia i dont want it and i have nothing to do with it.Nimelia sana nimeumia sana sijui hata nifanyaje mwenzeni anadai...
Nimeshuhudia leo jioni hii mganga huyo akipokea kichapo toka kwa wateja wake,hao wateja wake ambaye ni mtu na mkewe walikuwa wakilalamika kwamba walikuja kwa mganga huyo kwa lengo la kupatiwa dawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.