Sperms/Manii

Sperms/Manii

Obugwa Izoba

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
10,487
Reaction score
11,715
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?

Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?
 
a self cleansing organ.

by the way kacheze unaosomeka kitoto
 
Hivi wapenzi/wanandoa wakishiriki tendo la ndoa zile mbegu za kiume zote zinazomwagwa huwa zinaenda kukaa wapi kwenye mwili wa mwanamke?

Inasemekana for a single ejaculation mwanaume anazalisha mamilioni ya mbegu hizo. Hata kama ni kwa mimba lakini kwa mamilioni hayo ni wazi kuwa nyingne nying znabaki bila kazi.
Swali ni je, zinazobaki huwa zinaenda kukaa wapi na kwa mda gani? Je kuna kazi nyingne zinafanya kwenye mwili wa mwanamke?

Hizo mbegu zinakufa ndani ya saa 72 na zitatoka pamoja na ute mwingine wa kike. Wengine wanadhani zinatoka mwanamke akienda kukojoa. Si kweli, njia zake ni tofauti.
 
Ni swali la msingi madaktari tu wanaweza saidia,nyingine mbwembwe tu.
 
Back
Top Bottom