Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

4 Reactions
22 Replies
3K Views
Duniani kuna mambo... The man was then taken to hospital in south London where his condition is stable. It is understood surgeons were unable to reattach his penis. Habari kamili hii hapa BBC...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Simu za tachi skrini noma! Hizi simu za tachi skrini zinavyosumbua ni balaa tupu. Mdada kanunua akawa anashindwa kutuma meseji kwa bebi wake: Mdada: Bebw mambwo? Jamaa: Poa nambie. Mdada: Vipww...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
wanajamvi. Naomben ushaur wenu kuhusu mpenz wangu, nina mahusiano nae tangu mwez wa 6 mwanzon sasa tunakwazana kila wkt kwasabu ya muda wa kuspend nae, na hatak tuongozane barabaran nkimsindikiza...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Mke wako hana kipato kikubwa kukuzidi mfano kama anaingiza elfu 1 basi mwanaume uingize elfu 2 kwa kufanya hivyo mwanamke lazima akuheshimu tena hakikisha unampa uhuru wa kutumia pesa yake bila...
3 Reactions
47 Replies
6K Views
hello jf nina mpenzi wangu ninaye mfahamu mimi tu bado sijampeleka kwa wazazi ila anaonekana ana via amri amri vya ajabu ananitaka nimpikie chakula nisafishe vyombo ni pige deki kisa tu majirani...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Wakuu nina wakati mgumu sana katika mahusiano baina yangu na bibie Rapunzel , LINI MAHUSIANO YETU YALIPOANZA:? Yapata mwaka na nusu tangu tufahamiane mimi na yeye kupitia hapa JF ...
5 Reactions
532 Replies
30K Views
mimi ni kijana wa miaka 25,nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi mpaka nahitimu masomo ya chuo kikuu.nimeanza kazi sasa na nimepata mpenzi lakin tatizo ni kwamba napiz haraka kama dk. moja tu...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu humu,naamini humu ndani ni sehemu ambayo jamii inakutana kwa wingi,hivyo nimeona ni vyema haya kuyaweka hapa kwani najua wahusika watakuwemo tu, unajua ni kwanini wanaume tunaendeleza...
1 Reactions
115 Replies
10K Views
Jamani habari zenu? Ninaomba mawazo yenu,kuna mwanamke ambae ni business associate katika biashara ninayofanya ila yeye ana mume na mimi nina mke na tunafahamiana kabisa hata muda mwingi kwenye...
2 Reactions
56 Replies
5K Views
Naombeni ushauri: Nilikuwa likizoni ukweni kwenye nyumba ya self contained na nilikaa kama siku tano hivi na kila siku nilizoea kuamka kama saa mbili asubuhi. Siku ya mwisho niliamka kama saa kumi...
0 Reactions
131 Replies
37K Views
Wanawake siku hizi mh! hapana, msisalimiwe??? yaani unakutana na mwanamke anaenda dukani ameacha mboga jikoni, ukimpiga ufunguo tuu..! huyooo utasikia anapiga simu nyumbani anamwambie 'dada' hiyo...
0 Reactions
41 Replies
5K Views
Wazaz tuwe makini na watoto wetu kwenye mambo yafuatayo 1 Mkanye mtoto wako asipende kukubali kupakatwa na mtu yoyote tu usiyemuamin hata kama ni mjomba ake 2 Usipende kuvua nguo mbele ya...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
MTOTO Marisela Karoli (14) amewaomba wanaharakati wa masuala ya haki za watoto kumsaidia ili arudi shuleni badala ya kuolewa kama anavyolazimishwa na mama yake mzazi, Yohana Binde. Akizungumza na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nina mke nilyefunga nae ndoa, kabla ya ndoa nilikuwa na mtoto wa nje ya ndoa! Mke wangu alifahamu kabla sijafunga nae ndoa.. Aliahidi kumpenda lakini baada ya kufunga ndoa amebadilika. ANANIAMBIA...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwanaume karudi nyumbani mke anauliza: MKE: Mbona unanukia pafyum ya kike? MME: Kuna dada tulikuwa tunabinyana naye kwenye daladala ilikuwa imejaa sana. MKE: Na hiyo lipstick kwenye shati...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Hivi sasa imethibitika kwamba, watu wasiooa au kuolewa, wanaishi kwa umri mdogo zaidi ukilinganisha na wale ambao wameoa au kuolewa. Ukweli ni kwamba, taarifa hizi siyo hadithi bali ni ukweli...
20 Reactions
77 Replies
9K Views
Tumepishana kwenye corridor natoka kujisaidia yeye anaenda kavaa kinight dress chepesii yani ni angavu kiasi kwamba hakuna kilichofichama, nimegeuka nimwangalie vizuri makalioni sioni pichu, kavaa...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Kusamehe ni vizuri ila kisasi ni haki yangu! Nilimpenda sana huyu binti lakini nimethibitisha kanisaliti kwa rafiki yangu.Inaniuma sana na kinachotuma ni kulipiza kwa mdogo wake pengine atajua...
1 Reactions
116 Replies
13K Views
Heshima kwenu nyote! Binafsi nkimuaproach mdada akareject ataendelea kuwa rafiki yangu kama kawaida! Ntaendelea kumpa hi, kutaniana n.k infact life litaendelea kusonga mbele as usual and someone...
2 Reactions
84 Replies
9K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…