mwalimumzalendo1
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,098
- 407
Wazaz tuwe makini na watoto wetu kwenye mambo yafuatayo
1 Mkanye mtoto wako asipende kukubali kupakatwa na mtu yoyote tu usiyemuamin hata kama ni mjomba ake
2 Usipende kuvua nguo mbele ya mwanao pindi afikapo miaka 2 kuna vitu anajifunza kupitia kwako
jifunze kumuomba akupishe
3 Usiruhusu mtu kumuita mwanao mchumba,mke,au mume wake
4 Mwanao anapoenda kucheza mfatilie anaenda kucheza na nani na wanaenda kucheza wapi
Siku hizi watoto wengine wanatabia za kikubwa
5 Kama mtoto hapendi kwenda sehemu usimlazimishe na chunguza kwa ukaribu kwann hapend kwenda unaweza gundua tabua yake ama ya huko aendako
6 Unashauliwa kupitia movie na majalida utumiayo au ununuapo kabla ya kuruhusu mtoto aangalie
7 mtoto anapofokisha miaka 3 anza kumfundisha kujisafisha sehemu zake za siri umkataze kuruhusu kushikwa na mtu mwengine(hata wewe)
8 Mfundishe kuthamini maisha yake na kutokufua mkumbo
9 mwanao akikuambia kuhusu mtufulan mbaya
Usikae kimya chunguza na chukua hatua
10 Kuwa makini na wageni wajao nyumban kwako na kuwalaza chumba kimoja na wanao kwan wengine hufundisha watoto usaagaji na ushoga
Ni hayo tu