ushauri naombeni

ushauri naombeni

wicalumtata

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2013
Posts
329
Reaction score
113
wanajamvi. Naomben ushaur wenu kuhusu mpenz wangu, nina mahusiano nae tangu mwez wa 6 mwanzon sasa tunakwazana kila wkt kwasabu ya muda wa kuspend nae, na hatak tuongozane barabaran nkimsindikiza, sasa mim najikuta tunakwazana kila wkt, je labda kuna njia mbadala ya kummenagi
 
kwi kwi kwi kwi utoto unawasumbua
 
UNATAKA COURSE YA MPENZI MANAGEMENT?

hebu Karibu kumkaushia kama wiki hivi..... no phone call, texting, hugging, bling bling na maskio silo mengine!

dakika nanikuambia, Atarudi tu kwenye system kama kweli anakupenda
 
Mmeanza uhusiano tangu mwezi wa sita mwanzoni? Mwezi wa sita wa mwaka huu? Kama jibu ni ndio hakikisha mwezi huu unaenda kulipa mahari ili msikwazane.
 
Utoto unawasumbua acheni utoto mambo yatakua mazuri
 
yeye ndo ana mambo ya kitoto na ndo ambayo siyatak, na si vinginevyo..
 
Mwezi wa sita mwaka huu au mwaka uliopita? Kama ni mwaka huu huyo siyo mpenzi wako kwasababu mahusiano hayana hata miezi miwili hivyo huyo jamaa alikumega tu au anataka akumege mege siku akizidiwa nyege ila we ndo unataka umgande wakati yeye hataki kujulikana. Ana mpenzi wake labda anayejulikana mtaani hivyo hawezi kukuruhusu muandamane.
 
huyo ana mpenzi wake. anataka akuweke kama spea tairi just incase. so hataki muongozane coz wananzengo wanamtambua mwingine sio wewe wasije kumharibia kwa number one wake. we ni wa pili. angalia asikutumie tuuu then akaenda kuolewa kwa bwana wake. maisha ni ujanja ujanja kwa baadhi ya watu
 
Back
Top Bottom