Wanawake punguzeni upendo basi kidogo

Wanawake punguzeni upendo basi kidogo

kisungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2013
Posts
788
Reaction score
266
Wanawake siku hizi mh! hapana, msisalimiwe??? yaani unakutana na mwanamke anaenda dukani ameacha mboga jikoni, ukimpiga ufunguo tuu..! huyooo utasikia anapiga simu nyumbani anamwambie 'dada' hiyo mboga epua nimepata dharura. siku hizi sio kabisa jamani dada zetu umeongezewa hamu au? ebu punguzeni upendo jamani, upendo gani huu...!

Afu asilimia kubwa ya wanawake mnajiuza indirect, siku ya kwanza unakula papuchi saaafi, mwanaume unajitutumua unatoa wekundu wa msimbazi, ukimpa nasema wee uanipa hela ya nini sijui umenionaje, mzee unachukulia poa tuu, siku ya pili inaenda vizuri tuu, sasa subiri after a week, beb naomba uniazime shl. elfu hamsini nina shida nayo!! mh haya mahesabu vp, ina maana papuchi mara moja ni 25,000 au?
 
Na nyie hamueleweki khaaa, mkikubaliwa mapema ooh upendo umezidi, mkipigishwa sound ooh mnatuzungusha sana, sasa mnatakaje? Hahaha afu hutaki baby ako akukope hela au? Mbona siku ya kwanza ulimpa akaikataa jamani, atakuwa kapata shida kweli, so mkopeshe tu mweeee

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
ahhaaa sio kiivyo bana, tupigeni hata tarehe mbili tatu jamani inaleta 'apitaiti'
 
ahhaaa sio kiivyo bana, tupigeni hata tarehe mbili tatu jamani inaleta 'apitaiti'

Apettite ashakupa alivyokataa kupokea hela siku ya kwanza ulivyompa

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
akuombae mpe, hujasoma hiyo wewe?
 
Ushauri wa kibwege kabisa. Wanawake tafadhali nawaomba achaneni na ushauri wa kibwege kama huu,upuuzeni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom