nyilaegenge
Senior Member
- Apr 13, 2014
- 198
- 105
mimi ni kijana wa miaka 25,nilikuwa sijawahi kufanya mapenzi mpaka nahitimu masomo ya chuo kikuu.nimeanza kazi sasa na nimepata mpenzi lakin tatizo ni kwamba napiz haraka kama dk. moja tu nikiingza na hata ninapoenda awamu nyingne hali ni iyo iyo.mdada anajitahd kunipa moyo ila sasa wadau mnaojua nisaidieni ndugu.