Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Jiulize mchepuko wako umekusevu kwa jina gani, me nimeifumania simu ya mchepuko wangu nikaamua kucheck kanisevu kwa jina gani yani!!hapa nilipo sina hamu nae. Nilitegemea kukuta jina zuri mh...
1 Reactions
85 Replies
8K Views
Kuna mpenzi wangu ambaye nampenda sana ambaye nina kama mwaka1 hivi nipo nae anatabia poa tu lakini hivi karibuni kama 3week nikimpigia simu kama sa 5-6 nambiwa inatumika. Then nikipiga zaid...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Leo nimekaa nikawa nakumbuka maisha yangu ya kimapenzi kabla sijaoa. Kuna kisa cha binti mmoja ambae nilipata kuwa na relationship nae kipindi hicho nipo zangu chuo, medical school mwaka 2005...
1 Reactions
56 Replies
7K Views
Mume wangu na mama yake - lao moja Mtoto wa kiume akiwa na miaka 10 hadi 14 akawa na mama tu bila baba, huwa mtoto wa mama hata akiwa ameoa! Wapo wanawake wambao wameolewa na mume ambaye ni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Wana jamvi habarini, Jamani mwenzenu kuna katabia nimekuwa nacho kwa muda mrefu sasa NIMEKAACHA. Nilipokuwa na mahusiano na wadada nilijikuta natamani kubaki na chu*p zao, si ikawa tabia...
2 Reactions
91 Replies
8K Views
Habari zenu wanajf wa Kenya, I am looking for a Kenyan girlfriend (serious sitanii) Mmh awe na miaka kati ya 18 hadi 25 i care less about religion, colour or height my email : badbuda75@gmail.com
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Natafuta mwanamke mwenye nia ya kweli ya kuwa na mwanaume, mimi nilioa miaka 7 ndani ya ndoa nina watoto wawili tukaachana miezi 8 ilopita edomkally@gmail.com Umri 30 na kuendelea Ki ufupi awe...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Miaka 25, Binti wa kiislam Maji ya kunde Urefu 5.5 Elimu -digrii Mjasiriamal Baada ya kupitia nilitopitia katika mahusiano sasa nahitaji nusra kutoka kwa kijana wa kiislam anaeijua dini, Umri...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari za mida hii waungwana, Usingizi leo umekata, kuna vitu vingi vimetawala ubongo wangu na najihisi kama nimenasa kwenye matope ambapo siwezi kujinasua na kujihisi nadidimia. My love life is...
14 Reactions
56 Replies
12K Views
Mara nyingi michepuko inakuwa na usumbufu wa hapa na pale katika suala la Matumizi yaani bajeti yake inaweza kuwa kubwa kuliko hata bajeti ya familia nyumbani. Michepuko ina maudhi ya mizinga ya...
2 Reactions
129 Replies
13K Views
Mimi ni kijana mwenye umri miaka 31, elimu yangu ni stashahada na ni muajiliwa katika moja wapo ya taasisi za serikali. Ninatafuta mke alie serious na mwenye utauyari kabisa wa kuolewa endapo...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naitwa Richie nipo Dar es salaam miaka 25 kwa sasa am here kutafuta mwanamke mwenye upendo na mapenzi ya dhati anayejua kweli kupenda na kuthamini na anayejua kuishi na watu vizuri na...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
At first time ilikuwa crush kwenye wedding ya friend. Ndio mara ya kwanza tunaonana that night urafiki social hall 2 years ago tukacheza music pamoja. then tukaexchange namba na ikaishia hapo...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
I have good reasons: 1. He no longer pays attention to me 2. I am either second or third priority to his social life
0 Reactions
145 Replies
14K Views
Habari wapendwa,!! NATAFUTA MTUMISHI ALIYE IDARA YA AFYA( MUUGUZI) MIKOA YA MWANZA, SHINYANGA, NA MARA, ALIYE TAYAR KUHAMIA MKOA WA ARUSHA( MERU) TUWASILIANE KWA NO,0787541980•
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kuna binti ambaye tunasoma nae chuo fulani hivi,nilitokea kumpenda sana siku 1 tulipokutana katika hotel fulani hapa Tanzania. Kiukweli nilivutiwa the way alivyo maana dada huyu anajiheshmu sana...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
NEWS ALERT: UANZISHWAJI WA TAMTHILIYA ISIYO NA KIKOMO YA JF SISI WANA KIKUNDI CHA TEAMRAFIKI TUMEAMUA KUANZISHA JAMBO HILI ILI KULETA UPENDANO, UNDUGU NA AMANI KWA WADAU WOTE HAPA MJENGONI...
11 Reactions
178 Replies
13K Views
Habari! huu upuuzi wa hawa matapeli, wewe unawashughulikiaje? Hello Dear, How are you today?. believe that you are doing well. i am more than happy to read your mail this day. My dear like i told...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
wakuu! mi nataka kujua kama ni halali kwa mwanamke kuchangiana pesa na mwanaume ampendaye ili aweze kumtolea mahali? hasa kama mwanaume huyo ana kipato kidogo sawa na mwanamke, mwanaume hana ndugu...
0 Reactions
68 Replies
10K Views
Kuna dogo mmoja wa kike wa chuo flani hapa nchini niliunganishwa nae na mdogo wangu aliyepo hicho chuo. Nimempita miaka kama mitano hivi. Juzi juzi alikuja kwangu akaspend wikend nzima kusema...
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Back
Top Bottom