Hodi kwa mara nyingine tena wana jamii,
Bila shaka mu wazima wa afya tele. Ndugu zangu nimekuja jukwaani hapa kwa mara nyingine nipate msaada wenu wa kimawazo ni kwa namna gani naweza kuvuka huu...
1st year
Nikiwa nimekaa leacture room nikimuangalia msichana aliyekaribu yangu,niliyekuwa nikimuita "Bestfriend"nilikuwa nikimuangalia nywele zake nzuri na sura yake ya upole huku nikitamani awe...
Mahusiano Ulionayo Muda Huu Ndio Yatakayoelezea NDOA Yako Ya Baadaye Hivyo Kuwa Makini Na Mahusiano Uliyonayo Sasa Kaa Ukijua Huwezi Kumbadilisha Mtu Kwenye Ndoa Hata Kama Wampenda Sana Dunia...
Habari wa JF,
Miezi sita iliyopita nilibahatika kuoa mwanamke mmoja wa kiislam ambapo tulifunga ndoa ya kiislam.
Katika mahusiano ya uchumba nilimuona ni muwazi na ana akili za kimaendeleo ndipo...
Kuna ndugu yangu kaolewa ila tangu kaolewa anaishi na wifi zake kila mara maneno mara mchafu mara mvivu anaroho mbaya.nIkafikia kipindi mpaka pesa ya chakula hapewi yeye anapewa wifi yake ambae...
I was broken before, I am broken again. And "Love" is the reason behind this pain !!I have Tears in eyes, and a guilt inside.This is because i have trusted awrong man !
His love and affection...
habar za muda huu! kuna dada mmoja tumependana sana,,,anataka tuoane ila tatizo ni kwamba wazaz wake na wazazi wangu ni majiran sana! je km nikimuoa kuna madhara yanaweza kujitokeza?
Sifa hizi ni miongoni ambazo zinakuonyesha mwanamke anakupenda
1. Muda mwingi anapenda kuwa karibu na wewe
2. Ni rahisi kuomba msamaha akikukosea
3. Mara nyingi huwa na furaha sana akiongea na...
Mke: Mbona hawa Brazil
hawamchezeshi Neymar ??
Mme: aliumia mechi iliyopita,
hawezi kucheza
mke: mbona hawajamkodi
MESSI??
Mme: hairuhusiwi kukodi... Hizo sio nyumba za kupanga
kwamba unahamia...
It is great being a member to this grand forum.
Leo ni miaka saba (7) tangu nimejiunga na forum hii. Katika kipindi chote hiki nimejifunza mengi sana na hakuna siku hata moja nimeingia JF nikatoka...
Kwa wale wafanyakazi wanaotegemea mshahara ukiona una mpenzi ambaye kipindi chote hakutafuti wala kukujulia hali mpaka karibia na mwisho wa mwezi ambapo anajua unapata pesa ndo anaanza sms za mara...
A man was broken hearted when he caught his wife cheating a few days after their wedding.
The man was devastated that his newlywed wife was cheating on him within the first month of their...
Habari zenu wadau...
Nimekaa nimefikiriaaa, nimegundua kuwa mwanaume hayupo tayari kuzidiwa kitu chochote na mwanamke zaidi ya uzuri.
Ukimzidi uzuri mumeo mtaishi kwa amani lakini usiombe umzidi...
Habari zenu ........
Natumai ni wazima kwa wale ambao ni wagonjwa poleni sana na nawaombeeni mpone haraka
Kuna jambo ambalo limekuwa linawasumbua sana wadad wengi ambao wako kwenye mahusiano a...
Kuna rafiki yangu kaolewa hana mwaka ktk ndoa yake,wamepanga chumba na sebule,choo ndani,uwezo wao wa kawaida sana sasa ndugu wa mumewe kampigia sm mumewe anataka kuja aishi maana ana hamu ya...
Mwanamke ni kama jiko la umeme au pasi ya umeme ila mwanaume ni kama jiko la gas. Ukifanya kikuku kuku unategemea nini? Kumuumiza? Ajute?
Mwanamke kibiologia anapenda sana kuwa huru na mumewe...