Some girls you should grow up!

PSPA Pure'12 udsm

JF-Expert Member
Jan 11, 2013
829
443
Unakutana na mdada cute,intellectual unaamua kuspend nae for sometimes as ur heart commands u. U take more than six months kumtongoza tu hadi mnaafikiana japo with millions of conditions kwamba hutotaka game mapema. Unalibaliana ili kumprove km ur there for her in sweets na bitter.

Fine,ushakaa nae mwaka sasa unaamua kuomba game. Hapo ashakula vyako vya kutosha and you don mind so long as she is part of you. she seem to be there too.

Hapo kwny kutoa mechi panakua pagum dunia nzima. Atasingizia sababu zooote ulizowahi kuzisikia na hata kuziota. Pengine ukapata na nyingine mpya. Mwisho wa siku zote zimeisha,anaona ameshasingizia majanga yote ambayo yanakwamisha game.

Mwisho wa siku anakubaliana tu,mnapanga tarehe. Hapo mwanaume upo na Gregorian Calendar si chooni, kazini bar unalala NA kuamka nayo. Unahesabu cku hiyo ifike.

The long wait,cku ndo inafika. To make it markable unaibajetia to a great deal. masikini, salary yote siku moja tu. Mdada anafika eneo la tukio. ananukia km jini maimuna, unajiapiza kwamba hapa leo diiiih....hapatoshi!!

Mnaanza romance, apo boxer inanata utadhani umeifua na gundi hivi. Kijasho chembamba kinakutoka. As u ahead unaambia nipo Breed.
Hautaamini, unafunguliwa unakutana na damu tu..
ooooh shit!!!

Ukiuliza why didn't u tell me before ??..."U don trust me,I thought u won't too,so I came to prove u"

What a hell is this?????
..
 
This comment was deleted by LIKUD
 
Hataki, ni nini ambacho huelewi hapo? Unamwona mtoto kwasababu amekunyima?
 
umesema anakwambia yupooo.......ha ha ha ha yupooo.........

ila pole kwa yaliyokukuta
 
huo ni utoto wa hali ya juu sana, kama ni mimi unakuwa umenipa 75% ya kuachana na wewe. Yaan uvumiliwe mwaka alafu siku uliyoahidi mwenyewe unaleta za kuleta!
 
Back
Top Bottom