Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,315
- 28,595
Kuna hii dhana ambayo wanayo akina dada wengi hasa baada ya kuishi nae ktk muda mfupi pengine mwaka mmoja na nusu,mambo yakaja kuharibika kutokana na maswahiba mbalimbali ya kidunia basi wakati mvurugano unaendelea kupata kasi "wanawake hukimbilia kauli ya najuta umenipotezea muda wangu"
je kwa sisi wanaume huwa hatuna swala la kupoteza muda kiasi kwamba kilio kiwe kwa akina dada pekee?
je kwa sisi wanaume huwa hatuna swala la kupoteza muda kiasi kwamba kilio kiwe kwa akina dada pekee?