Kuna hii ishu nimeiona utakuta wadada wengi wanasema "yani yule mkaka ananijali karibia kila weekend ananipa laki 1 ya saluni" ...halaf kuna wadada wengine hudai kuwa ukiwapa pesa ndio maana yake...
Habari za muda huu wanaJF?
napenda kuwajulisha ya kwamba ninaumwa nimegundulika nina homa ya ini "hapetitisB" nipo kwa matibabu tangu juzi Agakhan hospital kwahyo tuombeane.
Nimemiss michango...
Nimekutana na mada hii kwenye gazeti la Habari Leo kwamba kuolewa siku hizi ni bahati, hivyo msichana/mwanamke jambo la msingi ni kujiwezesha kwanza kiuchumi ndicho anachohitaji kwa maisha. Hoja...
1.PAPARA
wanaume wengi tumekuwa na haraka sana tunapokuwa tukitaka kuaproach hali inayomfanya mwanamke akuwekee ugumu.mfano umekutana na dada mzuri mmesalimiana hapo hapo unamuomba namba...
Wana MM kuna binti mmoja wa kikurya nampenda sana kutoka moyoni na ni mpenzi wangu kwa mwaka mmoja na nusu sasa na baadhi ya ndugu zangu na marafiki wanamfahamu.
Tatizo ni kwamba huwa...
Habari zeni wana mmu,mi leo nimeonelea niwaulize wanaume maswali haya; Kwa nini wanapenda kudhalilisha wenzi wao mbele ya watoto?
Mwingine utakuta anatukana mkewe jamani matusi ya aibu mbele ya...
Kuna huu utamaduni wa kudharau wadada wa kazi, hadi wametungiwa majina eti beki 3, huwa nashangaa maana kazi wanazofanya hata dada zetu na mama zetu wanazifanya.
Ni hivi sasa, kuna kabinti...
ewe mdada/mkaka hakikisha umetongozwa kwanza kabla ya kuanza mahusiano yakimapenzi na mtu yeyote.
ile stail yakuzoeana tu na mkajikuta mnafanya mambo wanayotakiwa kufanya wapenzi itakutokea...
Habari wana JF,
Kuna mwanaume ana umri wa miaka 50, kapata msichana wa miaka 25. Huyo mwanamume kampenda binti na anataka kumuoa, binti naye kampenda huyo baba.
Mwanaume hajawahi kuoa...
Mambo vipi wana JF, nahitaji ushauri wenu kwenye hili.
Ni mwaka sasa umepita toka nianze mahusiano na huyu msichana. Wakati tunaanza mahusiano alikua akiishi hostel za chuo chao but after...
Ndugu zangu, binti yangu kaleta mchumba wa Kisambaa (Though not official yet). Binafsi sijawahi kufikiri binti yangu angeniletea wanaume wacheza ngoma na wavaa misuli (I'm not trying to offend...
Kwa nini mtu anaomba msamaha? jibu ni jepesi kuwa anapokuwa amekosea, lakini neno kukosea ni jambo linalofanyika kwa bahati mbaya na mtu akidhamilia huyo hawezi kuwa amekosea.
Mvulana ama...
Wakuu hivi kuna umuhimu wowote kuwa na picha ya mpenzi wako?
Huwa ukiwa na picha ya mpenzi wako unafeel nini?
Je wewe unapicha ya mpenz wako?
Na inafaida gani endapo ukiwa nayo?
:%:%:p*****
Habari za jumatatu wakuu wa nchi hii ya Jamii Forum, leo nataka niseme neno kidogo najuwa litalipuwa vichwa wengi, na kuwachoma lakini tuelezane tu kwa faidia yetu sote, haswa waamini wa mungu...
Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi!
Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu.
Sasa wadada jamani...
Wana JF,
Katika tukio lisilo la kawaida juzi nikiwa katika mgahawa mmoja pale sinza kwa remi, pale wanapopika vyakula vizuri Hot Food Hotel, niliishiwa kifurushi, nikatoka nje kununua nikiwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.