Mwizi wa Penzi anapoibiwa Penzi!!!

Mwizi wa Penzi anapoibiwa Penzi!!!

Kibo10

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
11,278
Reaction score
8,868
Jamaa mmoja alikuwa kiwembe sana.Alikuwa akiaga nyumbani kwake kwamba anasafiri kumbe alikuwa akienda kujivinjari na kabinti mtaani kwake.Siku moja alimuaga mkewe kwamba anasafiri kidogo kwa ajili ya shughuli za kazi.Alimwelezea mkewe kuwa anaenda kwenyesemina ambae itafanyika jijini mbeya kwa wiki moja.Jamaa aliondoka vizuri nyumbani,kumbe kahamia kwa kabinti hako nyumba ya pili kutoka kwake.Siku yakwanza akalala asubuhi alipoamka akachungulia kwake kukoje;Si akamwona jamaa yuko nje ya nyumba yake kavaa taulo lake anapiga mswaki.Akapiga za kuhoji,wewe nani? Jamaa akajibu,mshikaji mambo ya mjini haya,mume wa huyu mama kasafiri kaenda mbeya mimi ndiyo najivinjari hapa,.Mume akajibu kwa uchungu:mshenzi mkubwa,ngoja nirudi kutoka mbeya nakuua.
 
Hahahahaha!et kwa uchungu kabisa akajibu ngoja sasa arudi toka mbeya
 
ipelekwe jukwaa la jokes plzzzz ...........
 
Mods pelekeni jukwaa la siasa hapa si mahala pake!
 
Back
Top Bottom