Wajuba wasalaam!!!
hakika mapenzi yamejaa maajabu (japo si mageni kwa wengine) sijui labda niliwahi kuoa kabala ya kuwafahamu hawa viumbe?? (expirence)
kuna kipindi kama cha mwezi au miezi...
Mimi sijaoa Ingawa naelekea huko. Uzi wangu ni kwa dhumuni la kujifunza, hasa kutoka kwa wenye ndoa.
Hili swali nimekuwa nikijiuliza mara nyingi sana. Sasa jana kuna movie moja ya Ki-Nigeria...
Siku hizi imekuwa kawaida kukuta haya madude kwenye mikoba ya kina dada ( usiniulize nilikuwa natafuta nini)
Je, tatizo ni sisi wanaume? Na je Serikali imeruhusu?
💼 MHADHARA Na.5
Karibu kwenye Mhadhara wa tano. Leo nakuletea mambo makuu matano (5) ambayo yatamchepusha mkeo.
1. UGOMVI USIOKWISHA KWENYE NDOA.
Kutofautiana kwenye ndoa ni jambo la kawaida...
Hello wadau heri sana kwa pasaka. Natumaini yote ni wazima wa afya tele, kama haupo poa basi Muumba akupe wepesi upone haraka.
Nipo hapa Songea hata sielewi elewi hii siku utaishaje,kama kuna...
Hawa watoto wenu mnaowaleta kusoma Dar pls pls jitahidini kuwatake care. Mnawawekea mazingira magumu sana.
Mnawaingiza majaribu (hapa siongelei wale wadada ambao hata mzazi ajitahid ye bado ana...
Hali zenu ndugu zangu! Nimerudi muda huu nimekuta hotpot mezani, nimefungua nimekuta unga kama unga na matembele mabichi. Kisa alipiga simu sikupokea kutokana na kubanwa na kazi asubuhi. Kosa...
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno [emoji16]. Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha
Katika miezi mibovu kwangu ni...
Mimi binafsi sauti langu nalichukia yaani unakuta siku lisauti linakuwa lizito kama umemeza kokoto, cha kushangaza eti kuna lidada limoja huwa linaniambiaga anapenda sauti yangu ilivyo yani hadi...
Nianze kwa kujielezea kuwa mimi ni kijana kauzu hapa mtaani, sinaga umama, mazoea na vibinti mwiko! Kuna binti alileta mazoea ya kiwaki nikamnasa makofi! Hata nikikutana nao ni no salamu, no...
Habarini wana jukwaa,
Nisaidieni niko kwenye wakati mgumu.
Nimeolewa miaka 14 iliyopita. Nilikutana na mwenza wangu mkoa flani baada ya mimi kupangiwa kituo cha kazi mkoa huo, kwa kipindi hicho...
Hayawi hayawi hatimaye yamekuwa. Licha ya Harmonize kupitia changamoto nyingi hakika amefanikiwa kumrudisha Kajala kwenye himaya yake tena. Licha ya kukataliwa na kublokiwa kwenye mitandao ya...
If you wanna be happy for the rest of your life
Never make pretty woman your wife
So from my personal point of view
Get un ugly girl to marry you.....
A Pretty woman makes her husband look small...
Aiseee haya mambo sometimes ( mda mwingine ) huwa yanachosha sana, Jana nipo na mpenzi wangu ambae naishi nae toka mwaka 2019 ila cjamuoa ni single mother namkubali sana sababu ya uzuri wake...
Wadau pokeeni Salam zangu
Mm nipo kwenye early 40's sijaoa bado lakini nipo kwenye shinikizo kubwa sana kutoka katika ukoo wangu juu ya hili, Kuna wakati mama alitishia hata kuniletea mwanamke...
Wakuu
Salaamu,naomba kuuliza tu mfano wewe umekutana na Binti wa miaka 35,mwenye watoto wawili baba tofauti,unaweza oa mwanamke wa dizaini hii?
Ni piss ya kwenda,mpambanaji but kasoro ni hiyo tu,
1. Unajijua ni mrembo wa akili na mwili.
2. Umechoka upweke
3. Ni mpambanaji mtafutaji
4. Unahitaji kumbatio la nafsi
5. Upo tayari kupima
6. Dini siyo kikwazo
7. Siyo bongebonge au upo tayari...
Wakuu,
Wakati nikiwa kwenye mawazo ya ahadi ya jinsi gani nitaipata laki mbili na nusu ndani ya wiki ijayo ili kumnunulia baby Infinix note something niliyomuahidi baada ya kunipatia penzi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.