Hope mko poa, nipo kwenye mahusiano na huyu binti since 2019.
Tumedumu kwa huo muda japo Kuna milima na mabonde tumepitia, but now tumekomaa, Mimi Ni Graduate Sina kazi, but nilifanya kazi kwa...
Kuna rafiki angu kanieleza yanayomsibu katika ndoa yake nikastaajabu kidogo. Hadi sasa sijui cha kumshauri. Ipo hivi jamaa katika ndoa yake amebahatika kupata watoto 2 na yeye na mkewe wote...
Habari zenu wakuu, leo nataka niwasimulie jinsi ninavyotumia Gari kama ulimbo wa kuwanasa watoto wazuri, naamini mtaenjoy sana hasa kisa cha binti Rachel nasema uongo ndugu zangu?
Kwakuwa mara...
Sijui ni nini lakini wanawake wote kama sio wote ambao nilikua nao kwenye relation wameachika au ndoa zao zina migogoro.
Wa kwanza nilizaa nae kipindi nipo olevel nikaahidi kumuoa lakini kabla...
Mwenzenu nimepatikana Sijui natokaje hapa.
Baada ya kua single takriban miaka 2 baada ya kutendwa uko nikaamua nijikalie zangu single tu
Nahisi shetan ananinyemelea kabisa....kuna mkaka tulikua...
Kwa kweli kama kaka mtu nimehuzunika sana kupata habari hizi. Yaani binti badala ya kusoma na kumaliza elimu yake ya juu aje kuwa mwanasheria mzuri yeye anakimbilia kuolewa sasa ile ada niliyokuwa...
Wakuu, nimegundua kuwa nina kipaji cha hali ya juu cha kufanya mapenzi na wanawake na kuwaridhisha.
Hivi hii haiwezi ingia katika vitabu vya rekodi za dunia kuwa Kuna mwanaume anaitwa Bei Elekezi...
Wazee nakuja kwenu nikiomba ushauri,
Kama kichwa cha habari kinavyosema japo mimi sio mtaalamu sana wa kuandika nitajitahidi kuandika machache na ya muhimu, mwaka 2018 nikiwa kwenye safari zangu...
Wakuu nyumba imekuwa chungu sana kwangu wife analia muda wote kama tumefiwa apa ndani Back to the topics mwezi uliopita kuna mdogo wake na wife katoka chuo huko kaja apa nyumbani wife nilimsihi...
Hivi namkataaje mwanaume ambaye simpendi na sioni future nae bila kum-offend asikasirike, na nataka nibaki kuwa nae friends tu cause siwezi jua the future anaweza kuwa msaada wa mambo mengine (sio...
Today's Sunday.
Kwa wale wakristo wenzangu,tofauti na wenzetu Sabbath
Leo ni siku ya kuabudu .
Ikiwa ni kushukuru na kumuomba Mungu aweze kututengenezea mapito imara , Mungu ni mkuu atanyoosha...
Wanawake mnahangaika sana sisi Alpha male hatuchovi kila tundu keep this in ur mind.
Nimeamua kumkazia huyu Mwanamke mbaya zaidi Ana 30+ Ila anawaza chini tu.
Habari za Jumapili ndugu zangu?
Ndugu zangu kuna jambo nilikua nalichukulia poa ila kwa sasa hivi linaninyima amani sana nakua na mood off saana.
Nilikua na gilrfriend wangu tukawa tumegombana...
Unakuta mtu ana cheat hadi inakuwa hadharani yanamuendea vibaya unajua anaomba samahani na anakutaka usamehe uendelee kumchekea na kumfurahia kama zamani
Yani kirahisi tu na huenda unalaumiwa kwa...
Mpaka nimekumbuka ile kauli ya akili za kuambiwa, unatakiwa kuchanganya na zako
Ukitembelea mjini MMU utakutana na nyuzi kibao za kuwaponda wanawake, watoto wa kike, vitoto vya 2000, nyuzi za...
Swali langu ni umewahi kuwekeza kitu gani au shilingi ngapi kwa kukadilia katika mapenzi ili kudumisha mahusihano yako na mwanamke au mwanaume?
Ngoja niongelee kwa upande wangu,
Mimi nimekua ni...
Kama ilivyo maisha ya wakulima walivyomakini kuchagua shamba, kuandaa shamba na kujua muda sahihi wa kupanda mbegu.
Ndivyo maisha ya ndoa yatakiwa kuwa!
Siku hizi unaweza kuwatembelea watu...
Hili swala nilikuwa nalijua ila leo baada ya message fulani hivi kutumiwa na kijana mdogo ambaye nilizoeana naye ambapo alikuwa mfanya usafi ofisini, baadae alipata kazi sehemu nyengine ila kwa...
Mtu umeolewa unapangwa na vijana kama mmojawapo wa michepuko yake . Sasa ufumaniwe na,vitoto vya elfu mbili unapigwa kumia unaumia kuabishwa unaaibishwa.
Sasa jiulizee ukipigwa hadi uzirai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.