Hawa watoto wenu mnaowaleta kusoma Dar pls pls jitahidini kuwatake care. Mnawawekea mazingira magumu sana.
Mnawaingiza majaribu (hapa siongelei wale wadada ambao hata mzazi ajitahid ye bado ana tamaa atataka mambo makubwa kuliko uwezo wake hapana naongelea wale mabinti ambao wamelelewa kwenye maadili na hawana tabia mbaya ila mazingira yanakuwa magumu mpk anafika hatua anakuwa hana option)
Mnawatesa hawa watoto
Mnawafanya wafanye vitu ambavyo hawajawah kuwaza watavifanya
Naongea kwa exp kubwa tu ya mabinti kadhaa
Jana kuna binti nimekuwa nikimfukuzia ananikataa ila jana akakubali kwenda ane hotel analia ikabid nimdadisi why analia ndo akfinguka hali kwao ilivyo ngumu na ndo yuko mwaka wa kwanza hana hata ada na wanakaribia mitihan so imebid tu anikubali ili japo apate ada
Niliumia sana(niwe mkweli me ni fisi ila jana niliumia sana na utu ulinishika)
Ham ilikata nilibaki naumia yawezekana kuliko yeye nimeamua kumsaidia tu kama mdogo wangu uzur tulikuwa hatujaonana nyuchi zetu[emoji27][emoji120]
But nyie wazaz wa huko mkoan watoto wenu huku dar wanateseka sana na wanapitia mengi magumu(wale ambao wamelelewa kwenye maadili mema wanakaza sana ila inafika hatua wanakuwa hawana option pls pls pls)
Mwimgine nakumbuka nulipokuwa nae two years ago et akamwambia mamake na yule mama akasuport huku akijua me ni mme wa mtu aiseew [emoji119][emoji119][emoji119] Dunia imeisha
Nikikumbuka wakat nakua wazaz walivyokuwa et leo mama anasuport mwanae kudate mme wa mtu kisa atamsaidia majukum like serious???
Wazaz wa mkoan mnazingua sana trust me