Safari ya kufuata mhogo

veroos

Member
Sep 15, 2020
45
230
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mno . Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha

Katika miezi mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafiri KUFATA MHOGO Arusha kutoka Tunduma

Wanaume kuweni na aibu hata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za hivo sana katika katiba mpya hili suala tutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo

Nimefika Arusha salama lakini nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls haitoshi mama mwenye nyumba hakai hapo ila ndio anagombaniana na vidada MHOGO yaani akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?

Laiti ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndio wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini

Nawapa tahadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbali mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
 
Nimecheka hata kabla sijamaliza kusoma story,, nimeishia hapo kutoka tunduma kufata muhogo😂😂😂haya tuendelee

Yani hapo ukapata uchovu mara mbili si ajabu hata kaorgasm kadogo hukupata, pole Sana

Ndo maana mie napenda wababa, wastaafu😂😂 wanajielewaga, 34 yrs kwa wanaume wengi bado hawajakomaa ktk kusimamia matamanio yao ya kingono
 
Nimecheka hata kabla sijamaliza kusoma story,, nimeishia hapo kutoka tunduma kufata muhogohaya tuendelee

Yani hapo ukapata uchovu mara mbili si ajabu hata kaorgasm kadogo hukupata, pole Sana

Ndo maana mie napenda wababa, wastaafu wanajielewaga, 34 yrs kwa wanaume wengi bado hawajakomaa ktk kusimamia matamanio yao ya kingono
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
 
Kuna Bidada tuko mikoa ya karibu, ila Sasa Kila nikichomekea akuje......ananizungusha.

Kila nikichomekea Mimi niende , Mara ubize Mara nn !!


Msiseme hanipendi ,Ananipenda sana tu , Ila nahisi ni ubize tu wa hapa na pale 😉


Kwa kweli kuna Raha kusafiri kufata Mbususu!! ... Yaan unakua kama unafanya Royal Tour ya kugegedana


Kondomu !!.


Nasema Uongo Ndugu zangu??.
 
Katika maisha tunapitia changamoto nyingi mnoo . Ila tumepewa zawadi ya mapenzi na Muumba Ili kupunguza uchungu tunaokutana nao katika safar nzima ya maisha

Katika miez mibovu kwangu ni pamoja na huu nimesafir KUFATA MHOGO Arusha kutoka tunduma

Wanaume kuweni na aibu ata kidogo basi aiwezekan uwe unabadilisha wanawake kama nguo na wote unawapeleka nyumba unayoishi mnaboa wenye tabia za Ivo sana katika katiba mpya hili swalatutaomba liwepo kuwafunga wanaume wa hivo

Nimefka Arusha salama lakin nakutana na vituko namna hii mwanaume age34 Bado unaangaika na bint wa 16yrs men stop this pls haitoshi mama mwenyenyumba hakai hapo ila ndo anagombaniana na vidada MHOGO yaaan akikuta kadada anakaramba makofi hio si laana?

Lait ningejua kuwa mahusiano ya mbali umoja wa mataifa ndo wanaweza nisingejihusisha na haya mahusiano ambayo mpaka sasa sijui yalikuwa yanahusiana na Nini

Nawapa taadhari acheni kizifata mbunye na papuchi mbaliii mtajakupigwa vitu vizito dumu na yule mtu wako wakaribu kama tu hakuletei U.T.I
Sasa nawe umo ndani na hao wake wenzio?

Pole sana, hao ndio wanasababishwa tunaitwa mambwa
 
Usiloliweza wenzako tunaliweza na Linalokuchosha wenzako linatuchangamsha.

Nini Arusha... Mimi nshatoka Dar to Kigoma nkakaa Wiki moja nachakata daily then Safari ikaanza tena kuifuata Mbususu nyingine Mtwara kule nlikaa wiki 2 kisha nikaitiwa Mbunye Dar... Safari ya kurudi nlikua nimechoka sana aisee... Hata sikushuka njiani nile zaidi ya kubugia Makorosho tu na Maziwa Mgando.

Nimefika Dar nkaanza kujificha na kuzima simu mpaka Kibuyu kilivyojaa tena.

Girls wanapenda sana kufuatwa na kuitiwa Dushe.
 
Ni baadhi tu wamejitwika ufilauni na usodoma ndani Yao kwa hatua niliofikia ntajipatia Mzee mmoja maridad kabisa niwe nimemaliza mahangaiko ya Dunia ibaki kuangaikia ufalme wa mbingun
Mzee nko Apa wahi kabla pensheni haijaisha
 
Back
Top Bottom