Inapotokea vipaumbele vimetofautiana, what next?

Inapotokea vipaumbele vimetofautiana, what next?

Suprise

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
2,696
Reaction score
1,063
Wadau habarini za asubuhi,

Jamani nsije nkazidi haribu maana uwezo wangu wa kufikiri umeishia hapa, nitafurahi nikipata experience,

Hua mnafanyaje na wenziwenu inapotokea interst zenu au vipaumbele vimetofautiana, Maana kuna mda napinga mawazo bt nahofia kuonekana mbinafsi.

Kuna mda naamua nifatishe mawazo yake lakini kiukweli hapa moyo huuma ila sina jinsi ye anaenjoy me naumia naishia kumuona mbinafsi. Tukisema tudiscus tutamaliza wiki kwa ubishi yaani iwe ile hakuna kupendelea kila mtu atakuja na hoja tunashindwa amua kipi kiwe basi tabu tupu,.

Sasa nimeshindwa elewa endapo ntatetea point yangu tu the maximum anakua mpole indirectly sipendi hilo basi nikaja na uamuzi wa ndio mzee kumkubalia kila afanyacho endapo atanipa chance ya kuniuliza nayo imekua tatizo ananiambia nimemuachia kuamua kilakitu, nifanyaje wadau, nafanya haya kumfanya aridhike maana nimegundua interest zetu ni tofauti kabisaaaaaaa.


Wadau nyie na wenziwenu wote mna interest sawa, na ikitokea zimedifa mwafanyaje?
 
Kitu cha kwanza kabisa
Hiyo mbona kawaida sana? hawa wenzetu upande wa pili ndio tabia zao. Mwanamke anataka mambo matatu muhimu
1. Upendo wa dhati
2. Hakika ya ulinzi
3. Anatimiziwa mahitaji yake basi.
Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza. Wanadeka hao!! tena wanapenda hivyo. Ila ukiwa legelege watakuona zoba.
 
mambo yote yanazungumzka inategemea na wanaoyazungumza kama ni waelewa pia au la. Kama mnapendana kaa chini mtaelewana. Kuwa objective zisiwe hoja za kila mtu kuvutia kwake ila kujenga mahusiano yenu mtaelewana tu
 
ni balaa pale mwenzio anataka kuangalia Larevencha na huku kunagame kati ya Ujerumani na Argentina..
 
Kitu cha kwanza kabisa
Hiyo mbona kawaida sana? hawa wenzetu upande wa pili ndio tabia zao. Mwanamke anataka mambo matatu muhimu
1. Upendo wa dhati
2. Hakika ya ulinzi
3. ANATIMIZIWA MAHITAJI YAKE basi.
Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza. Wanadeka hao!! tena wanapenda hivyo. Ila ukiwa legelege watakuona zoba.

Apo panapo herufi kubwa, kama utamfata kila anachotaka huenda hata tarehe 10 mshahara ukaisha
 
Mhhhh kazi kweli! Toa nafasi hoja zake zipite na kama zinatoa matunda mazuri mliyoyatarajia hakuna ubaya!
Kama ikiwa vise versa mara ya kwanza, ya pili mpaka 10 zinafail huyo ni wa kumkwepa! Ndoa itakua ngumu mno!
 
Kitu cha kwanza kabisa
Hiyo mbona kawaida sana? hawa wenzetu upande wa pili ndio tabia zao. Mwanamke anataka mambo matatu muhimu
1. Upendo wa dhati
2. Hakika ya ulinzi
3. Anatimiziwa mahitaji yake basi.
Ukifanya hivyo utakuwa umemaliza. Wanadeka hao!! tena wanapenda hivyo. Ila ukiwa legelege watakuona zoba.

kwa hiyo mkuu ukitimiza hayo chochote utakacho itakua NDIOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO
 
ni balaa pale mwenzio anataka kuangalia Larevencha na huku kunagame kati ya Ujerumani na Argentina..

Umeonaa kero, mtaamua kua na tv kila sehemu bt haileti raha pia
 
Mhhhh kazi kweli! Toa nafasi hoja zake zipite na kama zinatoa matunda mazuri mliyoyatarajia hakuna ubaya!
Kama ikiwa vise versa mara ya kwanza, ya pili mpaka 10 zinafail huyo ni wa kumkwepa! Ndoa itakua ngumu mno!

haya mama, let him be first, kuna mda zinakua si za kudhuru bali ni hapines ya mmoja wapo, hapo pia nitoe nafasi hoja zake zipite
 
Anglican church jana wamepitisha wanawake kupewa daraja la uaskofu, mkijuwa maana ya haya yote hamtopata shida na familia zenu. new world order at work. hakuna atakaebaki salama.
 
Back
Top Bottom