mgoli magombe
Senior Member
- Apr 20, 2013
- 121
- 27
Wana MM kuna binti mmoja wa kikurya nampenda sana kutoka moyoni na ni mpenzi wangu kwa mwaka mmoja na nusu sasa na baadhi ya ndugu zangu na marafiki wanamfahamu.
Tatizo ni kwamba huwa nikimdokezea suala la ndoa huwa anasema bado hayupo tayari na kusema kama ninaharaka nitafute mke mwingne.
Naombeni ushauri wenu jamani nampenda sana huyu binti hadi naumwa jamani na lengo langu nataka kuishi nae.