Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwanamke: Ukitongozwa ujue aidha umependwa au umedharauliwa! Acha kujirahisisha...

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Husninyo, Jan 23, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #1
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  Habari zenu wadada wote na makaka, mababu na mabibi!

  Tunajua hakuna binti asiyetongozwa, awe mzuri au mbaya, awe mapepe au ametulia, awe anajiheshimu au hajiheshimu.

  Sasa wadada jamani, tukitongozwa tusivimbe kichwa na kujiona ni wazuri sana. Ukitongozwa ujue umedharauliwa au umependwa. Ila kudharauliwa ndio mara nyingi. Mdada anayejiheshimu sio rahisi kutongozwa mara kwa mara maana hata wanaume hujifikiria mara mbili mbili.

  Fikiria unatongozwa na libabu hilo au katoto kadogo hivi hapo si umedharauliwa?

  Wanaume wanapenda kujaribu jaribu waone watapata au lah (uongo wanaume?). Tuwe wagumu kwa hilo.
  Nawasilisha.
   
 2. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #2
  Jan 23, 2011
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,665
  Likes Received: 1,506
  Trophy Points: 280

  eeh! hapa kuna conflict of interest...will be back....:car::car:
   
 3. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #3
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,976
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  Hapo ujue umeonekana simple au kushoto kwako ni kulia na nyuma kwako ni mbele yaani huna mwelekeo na wanajaribu kupiga ngoma wasikie mlio wake.
   
 4. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #4
  Jan 23, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Mimi nahisi sijakuelewa Husninyo,tuwe wagumu kwenye kuwakataa wanaume,si tutakataa hata riziki jamani?

  Tutumie vigezo vipi kuwakataa,kwamba ni wadogo au wazee??
   
 5. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #5
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Inategemea unatongozwa namna gani, ukiwa unatongozwa na mlevi unategemea nini
   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwenye kuwakataa wanaume au wagumu kivipi?????
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hata mimi nimeliona hilo
   
 8. s

  shosti JF-Expert Member

  #8
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono na miguu mpenzi
   
 9. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #9
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  kwakuwa nakuja dodoma ndio umeamua kuanzisha hili sredi lako la kauzibe sio? nakuja hivo hivo bana hata ukiwa mgumu.
   
 10. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #10
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Ha ha ha ha ha ha
   
 11. Ms Judith

  Ms Judith JF-Expert Member

  #11
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 2,569
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  mi huwa sichukulii kuwa natongozwa, huwa naona kama mazungumzo ya kawaida tu. nayaintertain kama yana merit, kama hakuna naachana nayo. kwa kweli kuna wengine huwa hata wanashindwa kuweka kwazi kwa wanataka nini, hao nikiwagundua huwa nawasaidia kuweka wazi halafu tunaendelea na mazungumzo. tusiendekeze madhaifu jamani dada zangu
   
 12. PMNBuko

  PMNBuko JF-Expert Member

  #12
  Jan 23, 2011
  Joined: Dec 27, 2010
  Messages: 971
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Husninyo,

  Hapa pekundu nakuunga mkono. Kuna dada mwingine hata kama kwa vigezo vyangu namwona ni mbaya, unamwona antongozwa na jamaa, yeye anajidai hamaindi. Anasema, yaani mie ndo unaniona nakufaa wewe?! Mara aseme mie sitaki, mwishoni anaondoka kwa kujisemesha, utanitafuta siku nyingine... bye...tena kwa kumgeuka mara mbili tatu kwa tabasamu lenye kuashiria mahaba siku tatu zijazo!!

  Hii siyo nzuri kabisa kwa kina dada. Lazima uwe wazi useme. Yes directly au No. Tuelewe unataka mchezo au hutaki. Siyo kujiona mzuri
   
 13. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #13
  Jan 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Inategemea na maeneo/ mazingira mliyopo..utongozaji unaotumika na hata mtongozaji mwenyewe na mtongozwaji yukoje!Kama watu wazima hao hao wanaoa wasichana wadogo ..na wabaya wanaolewa na wazuri iweje wawe wanatongoza kwa dharau?Besides uzuri wako na ubaya wako sio wa mwenzio!Bila kusahau wengine hawaangalii sana sura wanaangalia tabia na vice versa!Sorry mami ila kwa kiasi kikubwa siungi mkono hoja!
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Mmmmh! Huyu ndio mgumu sasa, ila hajijui
   
 15. CPU

  CPU JF Gold Member

  #15
  Jan 23, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Hii kitu ni rahisi kuizungumza, issue ni utekelezaji wake.
   
 16. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #16
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Lizzy mchungaji anaendeleaje???
   
 17. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #17
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Yap utekelezaji uko tofauti
   
 18. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #18
  Jan 23, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 592
  Trophy Points: 280
  tuwe wagumu kutengeneza mazingira yatakayosababishwa tutongozwe. Unajua kuna wasichana wengine wanajirahisisha kabisa. Kama una friends wa kiume jaribu kudadisi kuhusu hilo.
  Riziki kama ipo ipo tu mpenzi.
  Njia ya mafanikio sio moja.
   
 19. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #19
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Kwahiyo na wewe unataka kuwa mgumu????
   
 20. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #20
  Jan 23, 2011
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Hapo umeongea jambo la msingi
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...