Nimedata na katoto ka kitusi

Nimedata na katoto ka kitusi

Emc2

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2011
Posts
16,808
Reaction score
16,969
images2.jpg

Haka katoto kananipagawisha hakyanani naingia kwa paulo.
 
kwani tanzania warembo wameisha? Mbona kuna waschana wazuri weng tu hapa kwan huyu ana nin ambacho dada zetu hapa tanzania hawana?
 
kwani tanzania warembo wameisha? Mbona kuna waschana wazuri weng tu hapa kwan huyu ana nin ambacho dada zetu hapa tanzania hawana?

Sijajua tofauti mtu wangu ila mimi mwenzenu nimedata.
 
sijaelewa, unataka ushauri ama?
Naka mjue nilivyo data mwenzenu. Duh katoto kamenidatisha kwa mambo yote. Mtoto yuko na pause la ajabu, mashavu kama epo, mwendo wa maringo, sauti nyororo, anajua kupika, dah hakya nani wacha paulo anichape risasi.
 
idadi ya watoto inazidi kuongezeka humu ndani
 
Kiukweli, vibinti vya Kitutsi vinapendeza sana machoni, kama walivyo mabinti wa Kihabeshi kwa bara la Afrika!, tatizo its just for the good look of them only!.

Uzuri wa kuridhika kwa macho, ndipo moyo ukafuatia, ni kile ukionacho machoni, macho yakiridhia na moyo utaridhia tuu hata kama there is nothing inside!, na utatulia tuu if only hauna pre experience ya mabingwa wa services!.

Go for it!.

Pasco
 
Haka katoto hakyanani kamepiga fimbo wengi hapa JF.
 
haahahahahha huyu jamaa anachekesha sana. Asante mkuu kwa kutuondolea stress
 
Wanabodi...
Tumeanza safari kuelekea nchini rwanda. Nitakuwa ninawapa update yote yatakayo kuwa yakitokea.
Nikifika tu nitawataarifu.
 
uwe unatupia na picha ......maana simulizi bila picha ni kuchoshana tu
 
Back
Top Bottom